Tabia ya wazazi kukataa wachumba kisa ukabila ikomeshwe

Acheni kuzingua bhana, wagogo ni watu kama watu wengine....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wachaga sio wa kuoa ujue unajitafutia matatizo kwanza hawana upendo kabisa
Ulipo agiza unachokunywa, kama kuna kabila lenye mapungufu kutoka kwenye tabia adi emotions basi hawa watu. Yani mtu na baba yake wamenichezea karata kali sana, walinifanya shamba la bibi fukn kweli!!

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Mimi naunga hoja ya wazazi yalinikuta....Mwaka 2017 nilipeleka mchumba home. Binti wa ukanda huu huu wa pwani mtoto mashallah mstaarabu haswa, wazazi Wangu wakakataa kata kata.. nikaona isiwe tabu nikaanza vikao kimyakimya Mwishowe nikavunja kamati.. nikaamua kuoa ndoa ya watu wachache tu.. marafiki na watu wa kazini wachache ninaoshibana nao,

Kiufupi kwao walifanya sherehe kubwa ya send off nzuri tu. Kwangu ilikuwa siku ya ndoa ni kama dinner part hivi ya kishikaji watu walikula na kunywa. Maisha yakaendelea full malove na furaha tele. Nikawarudia wazee nikawasomesha wee wakakubali kumpokea japo Kwa shingo upande. Miaka miwili baadae Mke wangu akapata ujauzito nilifurahi mno. Nikamnunulia gari ili asiteseke kwenda clinic kiufupi asinibane sana.

Ajabu japo naishi vizuri sana na wife ila ghafla nikaanza kukosa amani from no where, nikaanza kuwa na hofu, nikapiga moyo konde maisha yakaendelea wife akajifungua salama. Ila moyoni nikakosa furaha kabisa na wife japo hanifanyii kitu chochote kibaya.. siku moja mtoto akiwa mdogo sana miezi Kama mi3 hivi nikagombana na wife kidogo kuhusu simu alikuwa anang’ang’ania sana Simu yangu nikaona isiwe kesi nikampa yangu akanipa yake lah haula!!!!! Kumbe kuna kidume anachart nacho amekiachieve niliumia mno..

Akaenda kwao nikamfata maisha yakaendelea nikamsamehe.. akapata ujauzito wa 2. Akajifungua salama kabisa tatizo watoto wa mama ná baba mmoja hawafanani [emoji38]. Nikajua kuna mchezo hapa nimepigwa ila nikasema potelea pote nisiwaze vibaya. Kuna siku wife akaingia 18 tumegombana kidogo huyo kaenda kwao.

Sasa nikapata wazo nikamwambia please kama unataka ugomvi uishe tupime watoto DNA mimi ntakusamehe endapo watoto wote ni wa kwangu utarudi home. Maana aligundua yeye ndo amekosea

Nisiwachoshe majibu tulisomewa na mwanasheria mtoto wa kwanza yule wa penzi moto moto sio wa kwangu. Wa 2 ni damu yangu kumuuliza akaniambia ukweli huku akilia ni kweli kuna jamaa alizama nae penzini mimi sipo nipo kikazi nje. Akapata mimba ila akaogopa kutoa. Wakati huo nilikuwa nasafiri Mara kwa Mara ila sikai nje zaidi ya wiki moja au mbili, hivyo sikupata mashaka sana alivyoniambia ni mjamzito..

Niliumia sana nikakumbuka Maneno ya wazazi wangu, ila nashukuru Yule mwanamke nilimuacha Salama apambane na ulimwengu

Nimejifunza wazazi wanaona mbali mno.. wife alikuwa zaidi ya rafiki yangu kumbe mnafiki [emoji3064]
 
Polee sana mkuu wife hakujua kuheshimu alipopendwa.
 
Bahati wazazi wangu hawakuwa na mawazo ya kijinga kama hayo ya kikabila, wote tulioa na kuolewa bila kuangalia kabila la mtu
 
Nimejifunza wazazi wanaona mbali mno.. wife alikuwa zaidi ya rafiki yangu kumbe mnafiki.
Women know women. Kuna ile namna mama yako anapomuona mchumba wako kwa mara ya kwanza mara nyingi huwa wanaona tofauti sana kuliko unavyofikiri.

I am not talking about interference and you should never allow interference but trust me, older women know this younger women than you'd imagine. They see through their little shows. Your mother is not your enemy, she's your ally.

Kindly do not confuse this with mama's boys, I am talking about the first impression your mother has of your fiancee, it is rarely wrong with time.
 
Back
Top Bottom