Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Ndiyo ile mtu anafikia stage ya kikubwa uhai tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wa
Acha nicheke...naona mzee wa kipaza sauti anawaharibia vijana wake ...atake asitake atapitaaasaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo ile mtu anafikia stage ya kikubwa uhai tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wa
Acha nicheke...naona mzee wa kipaza sauti anawaharibia vijana wake ...atake asitake atapitaaasaaa
We unaweza kumpa penzi mgogo ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ilaa kwani wagogo huwa wana nini? Mbona kama huwa wanadharaulika flani hivi....
😂😂😂 Ohooo umekanyaga waya...We unaweza kumpa penzi mgogo ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni kuzingua bhana, wagogo ni watu kama watu wengine....We unaweza kumpa penzi mgogo ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata ukienda kumtambulisha nyumbani familia inaweza kujifungia ndani kujadili namna gani Watamove forward[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ohooo umekanyaga waya...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acheni kuzingua bhana, wagogo ni watu kama watu wengine....
Ulipo agiza unachokunywa, kama kuna kabila lenye mapungufu kutoka kwenye tabia adi emotions basi hawa watu. Yani mtu na baba yake wamenichezea karata kali sana, walinifanya shamba la bibi fukn kweli!!Wachaga sio wa kuoa ujue unajitafutia matatizo kwanza hawana upendo kabisa
Pole mkuu, hiyo yote ni experience ya maisha..Ulipo agiza unachokunywa, kama kuna kabila lenye mapungufu kutoka kwenye tabia adi emotions basi hawa watu. Yani mtu na baba yake wamenichezea karata kali sana, walinifanya shamba la bibi fukn kweli!!
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Eeh furaha kitu muhimu sana maishaniHuyu mmoja alimuachia mke nyumba alipata form six fresh from school alianza nae maisha. Alisamehe na ghorofa alilojenga na my wife wake wa kwanza.
Hahahahah pole sana chief Kiumbe🤣🤣🤣Ulipo agiza unachokunywa, kama kuna kabila lenye mapungufu kutoka kwenye tabia adi emotions basi hawa watu. Yani mtu na baba yake wamenichezea karata kali sana, walinifanya shamba la bibi fukn kweli!!
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Polee sana mkuu wife hakujua kuheshimu alipopendwa.Mimi naunga hoja ya wazazi yalinikuta....Mwaka 2017 nilipeleka mchumba home. Binti wa ukanda huu huu wa pwani mtoto mashallah mstaarabu haswa, wazazi Wangu wakakataa kata kata.. nikaona isiwe tabu nikaanza vikao kimyakimya Mwishowe nikavunja kamati.. nikaamua kuoa ndoa ya watu wachache tu.. marafiki na watu wa kazini wachache ninaoshibana nao,
Kiufupi kwao walifanya sherehe kubwa ya send off nzuri tu. Kwangu ilikuwa siku ya ndoa ni kama dinner part hivi ya kishikaji watu walikula na kunywa. Maisha yakaendelea full malove na furaha tele. Nikawarudia wazee nikawasomesha wee wakakubali kumpokea japo Kwa shingo upande. Miaka miwili baadae Mke wangu akapata ujauzito nilifurahi mno. Nikamnunulia gari ili asiteseke kwenda clinic kiufupi asinibane sana.
Ajabu japo naishi vizuri sana na wife ila ghafla nikaanza kukosa amani from no where, nikaanza kuwa na hofu, nikapiga moyo konde maisha yakaendelea wife akajifungua salama. Ila moyoni nikakosa furaha kabisa na wife japo hanifanyii kitu chochote kibaya.. siku moja mtoto akiwa mdogo sana miezi Kama mi3 hivi nikagombana na wife kidogo kuhusu simu alikuwa anang’ang’ania sana Simu yangu nikaona isiwe kesi nikampa yangu akanipa yake lah haula!!!!! Kumbe kuna kidume anachart nacho amekiachieve niliumia mno..
Akaenda kwao nikamfata maisha yakaendelea nikamsamehe.. akapata ujauzito wa 2. Akajifungua salama kabisa tatizo watoto wa mama ná baba mmoja hawafanani [emoji38]. Nikajua kuna mchezo hapa nimepigwa ila nikasema potelea pote nisiwaze vibaya. Kuna siku wife akaingia 18 tumegombana kidogo huyo kaenda kwao.
Sasa nikapata wazo nikamwambia please kama unataka ugomvi uishe tupime watoto DNA mimi ntakusamehe endapo watoto wote ni wa kwangu utarudi home. Maana aligundua yeye ndo amekosea
Nisiwachoshe majibu tulisomewa na mwanasheria mtoto wa kwanza yule wa penzi moto moto sio wa kwangu. Wa 2 ni damu yangu kumuuliza akaniambia ukweli huku akilia ni kweli kuna jamaa alizama nae penzini mimi sipo nipo kikazi nje. Akapata mimba ila akaogopa kutoa. Wakati huo nilikuwa nasafiri Mara kwa Mara ila sikai nje zaidi ya wiki moja au mbili, hivyo sikupata mashaka sana alivyoniambia ni mjamzito..
Niliumia sana nikakumbuka Maneno ya wazazi wangu, ila nashukuru Yule mwanamke nilimuacha Salama apambane na ulimwengu
Nimejifunza wazazi wanaona mbali mno.. wife alikuwa zaidi ya rafiki yangu kumbe mnafiki [emoji3064]
Polee sana mkuu wife hakujua kuheshimu alipopendwa.
Women know women. Kuna ile namna mama yako anapomuona mchumba wako kwa mara ya kwanza mara nyingi huwa wanaona tofauti sana kuliko unavyofikiri.Nimejifunza wazazi wanaona mbali mno.. wife alikuwa zaidi ya rafiki yangu kumbe mnafiki.