Tabia zipi za Mwanamke au Mwanaume zinaonesha mapenzi yameisha?

Tabia zipi za Mwanamke au Mwanaume zinaonesha mapenzi yameisha?

Issue kubwa ni disrespect issue ndogo tuachane hakusikilizi ushauri anatoa kwa rafiki zake wa kiume

Pia kama mdada ambae mama ake aliachana na mmewake jua ni umo umo wana viburi balaa
 
Issue kubwa ni disrespect issue ndogo tuachane hakusikilizi ushauri anatoa kwa rafiki zake wa kiume

Pia kama mdada ambae mama ake aliachana na mmewake jua ni umo umo wana viburi balaa
😎😎
 
Kuacha kupokea simu na kujibu sms.
Wapo watu kama Mimi kupokea simu hatupendi Tu....tunapenda SMS

Especially simu za wanawake mlioanza mahusiano....
Uko kwenye daladala unaulizwa ...umeshakula?..
Leo hujani miss?..simu hizo ukiziendekeza utafanya daladala lote likae kimya...linasikiliza utoto unaoufanya na mpenzi wako
 
Mleta mada tafuta pesa...,
Ukiwa na pesa wanawake watakupenda by default..
Always remember: A RICH OLD MAN NEVER GETS OLD IN A YOUNG GIRLS' EYES.
Hz tabia zenu na kauli zenu za cku hz za kuwapa kichwa na kuwaendekeza wanawake kupenda pesa hamjui tu ni namna gn ilivyo na madhara makubwa kwa jamii hamjui tu
 
Back
Top Bottom