Tabia zipi za Mwanamke au Mwanaume zinaonesha mapenzi yameisha?

Ukiona mwanamke hakuonbi pesa, unue yupo anayeombwa...na hapo ndio goma linakuwa limeishia hapo
 
Nitulie hapo nyie mnaenda wapi uko kuninyima?
eeet.PNG
 
Tutafute hela bhn hakuna cha dalili za upendo kupungua ukiwa na hela huwezi ona hizo dalili ukisema kanipendea pesa ni sawa tu maana hata me napenda mtu awe na pesa wakuu tutafute hela acheni kupuyanga 😀😀
 
Jidanganye kina billgates wasingeachika kina Elon
 
Ukimtumia pesa kisha akurudishie na ya kutolea jua imetoka hiyo😂
 
Back
Top Bottom