Tabia zipi za Mwanamke au Mwanaume zinaonesha mapenzi yameisha?

Tabia zipi za Mwanamke au Mwanaume zinaonesha mapenzi yameisha?

Tutafute hela bhn hakuna cha dalili za upendo kupungua ukiwa na hela huwezi ona hizo dalili ukisema kanipendea pesa ni sawa tu maana hata me napenda mtu awe na pesa wakuu tutafute hela acheni kupuyanga 😀😀
Wew hujui km pesa Ni dhuluma dhidi ya haki, Utu nk
 
Sikatai tutafute ili tuweze kujikimu kimaisha Ila kuna mambo sio ya kuhusanisha na pesa, mfano mapenzi Ni ushetani ukihusanisha na pesa hapo panakua hakuna true love baada yke utakua unajitengenezea kidonda mwenyewe kitakachokuua kesho utakapokuwa umekosa hzo hela,

Ni vile shetani katuzid kete katika Karne hii kaifanya pesa iwe na thaman kuliko ubinaadamu
 
Back
Top Bottom