Tabia zipi za Mwanamke au Mwanaume zinaonesha mapenzi yameisha?

Tabia zipi za Mwanamke au Mwanaume zinaonesha mapenzi yameisha?

Kuacha kupokea simu na kujibu sms.
Samahani naongezea... "Kukatiwa simu, kujibiwa mikato na mashushu au kutumika night kali"

Dunia imeshabadilika.. Utaumia, utazoea na utasahau!

#NEVERCHASEAWOMANCHASESUCCES
 
kaa hapa hapa
Huyu hapa?
Screenshot_20230728-175003.png
 
Alionesha mapenz yameisha wke anatawasiliana na wewe anakatansim,, na ukipiga simu wewe anaongea ili mradi umalize umuache. Na kama unaonhgea sana..anabaki kukutafutia mazingira ukate sim. Inaniuma sana nikikumbuka
 
Hatawasiliana na wewe, na ukipiga simu wewe anaongea ili mradi umalize umuache. Na kama unaonhgea sana..anabaki kukutafutia mazingira ukate sim. Inaniuma sana nikikumbuka
Pole sana njoo kwangu basi
 
Back
Top Bottom