jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
mie mwanamke kidomo domo simuwez kabisaaTaja Tabia za mwanaume au mwanamke ambazo zinaonesha kwamba penzi limekwisha au penzi limekufa iwe ndoa au uchumba[emoji845]
kwenye X-men: The Last StandYeah niitie Dream Queen aje anieleweshe swali linasemaje
Nipe jina lake nimzoom au hilo jina pia unataka anipe Dream Queen ππkwenye X-men: The Last Stand
kuna mutant mmoja kafanana na huyo kwenye Avatar yako
ni mnene, akikaa kwenye benchi mbanano, anajibadili kuwa mwembamba anafit
alikuwa ni character mdogo, alitokea kwa screen mara moja tuNipe jina lake nimzoom au hilo jina pia unataka anipe Dream Queen ππ
Duuuh ntajaribu kumcheck baasi πππalikuwa ni character mdogo, alitokea kwa screen mara moja tu
Jiulize kwanza hapo mwanzo ulikuw unampigia simu Mara kwa Mara,Dada hivi upigi simu.Taja Tabia za mwanaume au mwanamke ambazo zinaonesha kwamba penzi limekwisha au penzi limekufa iwe ndoa au uchumba[emoji845]
Niko pale nasomaπHeee! πππ
Huu uzi utakuwa na comments za kuchekesha
ππIssue kubwa ni disrespect issue ndogo tuachane hakusikilizi ushauri anatoa kwa rafiki zake wa kiume
Pia kama mdada ambae mama ake aliachana na mmewake jua ni umo umo wana viburi balaa
Wapo watu kama Mimi kupokea simu hatupendi Tu....tunapenda SMSKuacha kupokea simu na kujibu sms.
eti eeh, em ntumie hapa 0712 163248 kama ni rahisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa ni kitu ya kumnyima mtu
pesa nayo ni ya kumnyima mtu tena πmie nikutumie tena au we ndo utume
Juma Faki MakameJina linakuja nani
nikutumie mie basi π«₯Ushaharibu sasaπππ
Sina msaada na wew tena
Hz tabia zenu na kauli zenu za cku hz za kuwapa kichwa na kuwaendekeza wanawake kupenda pesa hamjui tu ni namna gn ilivyo na madhara makubwa kwa jamii hamjui tuMleta mada tafuta pesa...,
Ukiwa na pesa wanawake watakupenda by default..
Always remember: A RICH OLD MAN NEVER GETS OLD IN A YOUNG GIRLS' EYES.