Tabia zipi za Mwanamke au Mwanaume zinaonesha mapenzi yameisha?

Ukiona mwanamke hakuonbi pesa, unue yupo anayeombwa...na hapo ndio goma linakuwa limeishia hapo
 
Tutafute hela bhn hakuna cha dalili za upendo kupungua ukiwa na hela huwezi ona hizo dalili ukisema kanipendea pesa ni sawa tu maana hata me napenda mtu awe na pesa wakuu tutafute hela acheni kupuyanga πŸ˜€πŸ˜€
 
Jidanganye kina billgates wasingeachika kina Elon
 
Ukimtumia pesa kisha akurudishie na ya kutolea jua imetoka hiyoπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…