Sikatai tutafute ili tuweze kujikimu kimaisha Ila kuna mambo sio ya kuhusanisha na pesa, mfano mapenzi Ni ushetani ukihusanisha na pesa hapo panakua hakuna true love baada yke utakua unajitengenezea kidonda mwenyewe kitakachokuua kesho utakapokuwa umekosa hzo hela,
Ni vile shetani katuzid kete katika Karne hii kaifanya pesa iwe na thaman kuliko ubinaadamu