Tabiri hapa matokeo ya mechi ya marudio kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Casablanca

Kwa hiyo kubet ni kazi? Mzima kweli wewe?
Kila unachokifanya kwenye Maisha Yako ni betting, as long as hujui hata dakika mbili zijazo nn kitatokea, hivyo Maisha yote yamejaa ubashiri mtupu sema mnakosea mnapo specify baadhi ya Mambo, waacheni vijana wabet, kama hamtaki waingie maofisini wawatoe kwa nguvu muwaachie hizo nafasi

Wapo bize na wengine wanaendesha Maisha yao kutwa kuwaimba kisa mnapo pa kujishikia huko siku mtajuta kwa kauli zenu hizo
 
Huyu jamaa kaweka matokeo yote yaani 1 X 2 jambo linalofanya aonekane anabahatisha. mimi nasema simba anakufa haijarishi atajipangaje
 
Tantalila nyingi kama vile hujui tunachokataa ni kipi.
 
Kwahiyo wazee wa kubeti ngoma ni chini ya magoli mawili au zaidi ya hapo ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Wewe sema kabisa kikosi cha simba kikiwa hivi ni droo na hivi na kipigo, kazi ya ubashiri Mungu alishaikataaga, hakuna mwanadamu ajuaye kesho zaidi ya Mungu.
 
Tantalila nyingi kama vile hujui tunachokataa ni kipi.
Isingekuwa ajira serikali yako tukufu ya CCM Isinge halalisha na kuwa kama chanzo chake cha mapato ikikusanya mabilioni yanayotumika kuwalipa posho na mishahara nyinyi,
Badala MSHUKURU mnasimama kutwa majukwaani mkishakula mmeshiba kuwatukana hao vijana kana kwamba wanakuja kuwaomba majumbani kwenu,
Zama zenu zinaisha siku wakiamua kuliamsha mtakoma, endeleeni kuwachokoza na kuwasimanga majukwaani
 
Na utasimama mkuu mpaka full time
Tawire tawire. Muhimu tu Mnyama asifanye yale makosa yake ya kiufundi ya kujisahau.

Kama wanazitaka kweli hizi pointi 3 muhimu, basi waendelee kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu, na wawaheshimu wapinzani wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…