Nchi hii ni ya ajabu sanaRamadhani Ntunzwe kwa maelezo yake kwenye video clip ambazo zipo Youtube Mwaka 2019 alieleza kuwa Kesi yake ilifika hadi Ikulu na kujadiliwa, pia alisema alifikisha kwa Katibu Mkuu CCM dodoma wakati huo Dr Bashiru Ally.
Jambo moja la kushangaza ni kuwa Kesi ikiwa Mahakamani alidai kuwa anatishiwa kuuawa.
Sasa kisa hiki cha kujiua kinatia mashaka sana.
binafsi yangu siwezi nikaamini uyu mtu kajimaliza mwenyew na mikono yake,hata mwenda wazimu hawezi kuamini ili swala,hapa tuliachie jeshi la polisi kwa uchunguzi wa kina RIPMfanyabiashara Ramadhani Ntuzwe ‘Babu Rama’ aliyekuwa akipaza sauti katika vyombo mbalimbali vya habari kwa takriba miaka saba kwamba anaida fidia ya Sh 986 milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), anadaiwa kujiua kwa risasi leo Jumatano Machi 6, 2024 nyumbani kwake Urambo mkoani Tabora.
Meneja wa mfanyabiashara huyo, Msifuni Myava amethibitisha kutokea kwa kifo cha bosi wake na kudai kuwa amejipiga risasi ya kichwa na kupoteza maisha akiwa amejifungia dukani kwake.
Mfanyabiashara huyo kwa mara ya kwanza aliwasilisha kilio chake tarehe 28 Februari 2019 katika kikao cha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wafanyabiashara wa Ilala ikiwa ni
miezi saba tangu alipokutana na mkasa huo tarehe 30 Oktoba 2016 alipokuwa akisafirisha mzigo wake kutoka Afrika Kusini kupitia mpaka wa Tunduma kuelekea Dar es Salaam.
Katika kikao hicho, Ntunzwe alieleza mikasa miwili iliyomkuta dhidi ya TRA; kwanza kushikilia mzigo wake kwa miaka mitatu kwa tuhuma za kukwepa kukodi huku yeye akidai
kukataa kutoa rushwa ya Sh2milioni na mkasa wa pili ni kuibiwa mali zake zenye thamani ya Sh986 milioni katika duka lililopo Kariakoo baada ya TRA kulifunga kwa madai ya kutotumia mashine ya EFD.
Chanzo: Mwanahalisi
umati wa watu mbele ya Supermarket ya Ramadhani Ntunzwe
Hasahasa polisi huko ni laanatullah kabisaKuna taasisi kufanya kazi huko ni kuchuma laana tu. Polisi, mahakamani na huko kwenye masuala ya kodi.
Kuwa karne kwa karne walitoka wapi?Kwanza nikuulize una umri gani? Hao waarabu wapo karne na karne so huwezi ukasema hayo maneno ya kibaguzi, na kuonyesha chuki.
nimesoma huu uzi lakini cha kushangaza sijaona mahali labda kuna taarifa ya polisi, labda hospitali,ndugu au rafiki wa karibu. Watu siku hizi vichwani tuna mambo mengi mno. Nilichokiona mleta uzi ni kama vile anawarushia tra kesi hii bila kufatilia undani wa sababu. je kama mke wake kachit kashindwa vumilia? je kama anamaradhi ambayo kaona hawezi pona na yanamsumbua mno? je kama kadhulumu anatafutwa? tusiwe wepesi kutafuta sababu bila fanya utafiti na kupata majibu sahihi kwenye vyanzo sahihi. Wangapi wanaidai tra na wangapi wanadaiwa na tra na hujasikia wamejiua. kudai au kudaiwa ni kitu cha kawaida ulimwengu wa sasa hasa kwa nchi zetu hizi ukizingatia tunafanya biashara. Je kama kalogwa na nyumba ndogo ili achukue mali?Taarifa ya kifo ni sahihi lakini sababu ya kifo inaleta mashaka makubwa
Ngumu kumeza ,mtu alilalamika kwamba wanataka kumuua na yeye aksema kwamba hawamuwezi ,lakini unaambiwa kajipiga risasi wakati alikuwa bado anafauatilia mpunga wake.
WILD-CE hawashindwi kitu hao jamaa.
Hajalipwa.Mwaka jana nilikua Urambo nilifika pale dukani kwake kununua bidhaa. alilipwa na TRA, na alikuwa ameexpand sana biashara yake ya bidhaa-duka la jumla likawa kubwa, akajenga warehouse, akawa na malori ya kusupply vijijini. Bado alikua na misuguano na maafisa wa TRA na walikuwa na mitego mingi, though jamaa alikuwa smart sana kulipa kodi na kutumia technology. Hii expansion ya biashara za bidhaa kwa pale Urambo, ilimpa maadui wapya-WAARABU WAFANYABIASHARA YA BIDHAA pale Urambo. Hawa waarabu wamejenga monopoly attittude kiasi huwa hawataki supplier mpya sokoni tena awe na bei za chini kuliko wao.
Kwa kweli nimemumizwa na habari za kifo cha Ntunzwe. Apumzike kwa amani. Biashara zake ndio zimefika mwisho. Inaumiza sana.
Amejiua baada ya kupewa taarifa ya kifo cha kaka yake.Anadai yeye halafu ajiue yeyeeeee
Acheni hizoo
Inawezekana aliyefariki huko Kalinzi Kigoma naye alikuwa karibu sana kibiashara na marehemu Ramadhani Ntunzwe hivyo msiba wa Kalinzi Kigoma ukawa ni pigo jingine kubwa katika mipango aliyokuwa nayo.
Yote kwa yote uchunguzi wa kiPolisi utatupa picha sahihi ya tukio hili kubwa la Urambo Tabora.
Mwenzi January 2024 kahojiwa na mwanahalisi online TV kasema bado hajalipwa ,anamuomba mama samia aingilie kati..wewe chiz umekazana eti amelipwa!!Sorry, nimeona sijaandika kwa usahihi; Alilipwa sehemu ya madai yake.
Ushahidi upi unataka?
Kweli kabisa yaani huo mkoa umetawaliwa na wafanyabiashara wakiarabu na kama wamemiliki mkoa, kuna jamaa tu Sikonge mafuta yanasumbua mpaka utembee km 18 ndio ukute kituo cha mafuta yaani basi tuMwaka jana nilikua Urambo nilifika pale dukani kwake kununua bidhaa. alilipwa na TRA, na alikuwa ameexpand sana biashara yake ya bidhaa-duka la jumla likawa kubwa, akajenga warehouse, akawa na malori ya kusupply vijijini. Bado alikua na misuguano na maafisa wa TRA na walikuwa na mitego mingi, though jamaa alikuwa smart sana kulipa kodi na kutumia technology. Hii expansion ya biashara za bidhaa kwa pale Urambo, ilimpa maadui wapya-WAARABU WAFANYABIASHARA YA BIDHAA pale Urambo. Hawa waarabu wamejenga monopoly attittude kiasi huwa hawataki supplier mpya sokoni tena awe na bei za chini kuliko wao.
Kwa kweli nimemumizwa na habari za kifo cha Ntunzwe. Apumzike kwa amani. Biashara zake ndio zimefika mwisho. Inaumiza sana.
Huo ni ushizi wako tuMwendazake aliharibu sana biashara za watu..wengi wamebaki na makovu
Sio miaka 3..uyu kaporwa bidhaa zake na t.r.a toka 2016,,then 2017 t.r.a hao hao wakaliweka duka lake chini Yao na Yale makufuli Yao na mlinzi wao..siku anakuja kukabidhiwa duka lake anakuta million sitini na hazipo na dola elfu 17 za kimarekan hazipo...Miaka zaidi ya mitatu kushughulikia tatizo TRA walishindwa kweli? Au kuna kingine?
Huyu jamaa kuna uwezekano ameuawa. Mimi ni mmoja ya watu waliokuwa wanafuatilia sakata lake kwa muda mrefu. Kwenye maelezo yake mengi alikuwa anasema jinsi anavyowindwa na jinsi alikuvyokuwa anaitwa na wahusika kwenye mazingira ya kutatanisha na kukoswa koswa. Itakuwa ni lile kundi lilimlia timing likamuua kwa risasi halafu wakazusha kuwa amejiua mwenyewe.Nchi hii ni ya ajabu sana
Ova
Yalivyo na roho mbaya wataona sawa tu ila Mungu tusaidie tunaonewa sana na hawa TRAKukata tamaa ni kosa kubwa sana, pigana mpaka mwisho ili haki ipatikane. Hawa waheshimiwa wa TRA wanajisikiaje na hicho kifo?