Tabora: Anayeidai TRA Milioni 986, Ramadhani Ntuzwe adaiwa 'kujiua kwa risasi'

Mtu kalalamika ikulu,kalalamika kwa waziri mkuu kalalamika kwenye vyombo vya sheria
Lakini kote huko hakuna msaada aliyopewa
Nchii hii kiboko

Ova
 
Kafa kinyonge kweli
Bora angewafanyia hao mamemeneja wa kodi na watu wa tiaraei

Ova
 
Ukijiua hasara kwako Dunia haisimami anazaliwa mwingine
 
Kafa kinyonge kweli
Bora angewafanyia hao mamemeneja wa kodi na watu wa tiaraei

Ova
Aisee ningekuwa Mimi ningeondoka na roho nyingi sana hao TRA kwa sababu hawajui ni namna gani jinsi watu wanavyojutuma, kujitafuta halafu mpaka wanafanikiwa kimaisha wao wanakuja kubambika mikodi. Mimi ningeenda nao Safari moja tu aisee
 
Acha chuki na roho mbaya, ukiwa na chuki hata mambo yako hayaendi, halafu mwenye chuki hata sura yake inachange, jichunguze
Mzee wa waarabu wa palestina......naona umekasirika kawataja waarabu.
Ila akiwataja wale wazee wa yom kippur ungekenua mpaka jino la mwisho 🤣🤣🤣🤣
 
Kakosea Sana Kama kweli,hapo unaenda ofisini za TRA unapiga za kichwa wabaya wako nawe unajimaliza,sio ushauri mzuri lakini unakufaje unaacha adui anatamba??
 
Wengi wa matajiri wanaojiua Huwa Wana utajiri wa punje mda wa kufa ukifika kulingqna na mkataba ulioingia na shetani nusu ya miaka yako aliyokupangia Mungu inatakiwa ukamtumikie shetani kuzimu kule ni mateso makali sana unalipia Bata na raha uliyopata dunia kwa utajiri uliokopeshwa.
Ili wanajua matajiri wote wa kichawi.
Sasa wanachofanya Huwa ni kujiua mda ukifika ili wasiende kuzimu kwa maana shetani Huwa achukui mtu aliyejiua.
Wewe unaenda straight kusuburia hukumu uende jehanamu.
Pia ni chukizo kwa Mungu kujiua hana msamaha Kwa hili.
 
Kwann ujinga wake uwagharimu wengine
 
Kujiua ni kiwango cha juu sana chq ubinafsi na ukatili
 
Kujiua ni kiwango cha juu sana chq ubinafsi na ukatili
Watu wanakubambikia mikodi ya uongo na Wewe unakuta una nilipo mingi yaani ile hela wanayoiona kwenye mauzo ya bidhaa au kwenye account za benki wao huwa wanajua ni ya kwako ma ndio maana huwa wanafanya haya mambo.
 
TRA ni wasengelemaaa sana na Vijana wengi huwa wanawaza ukifanya kazi pale Wewe tayari umeshaukata na ndio maana wanapenda sana rushwa
Unaishi nao tu mbona watamu,nchi hii usijifanye mjuaji police na tra watakuwa rafiki zako
 
Watu wanakubambikia mikodi ya uongo na Wewe unakuta una nilipo mingi yaani ile hela wanayoiona kwenye mauzo ya bidhaa au kwenye account za benki wao huwa wanajua ni ya kwako ma ndio maana huwa wanafanya haya mambo.
Usigome kuliwa ili ule.
Kaa chini na watu
 
Mtu kalalamika ikulu,kalalamika kwa waziri mkuu kalalamika kwenye vyombo vya sheria
Lakini kote huko hakuna msaada aliyopewa
Nchii hii kiboko

Ova
Angetafuta begi lake safi anaweka vitunguu ndani,akifika mjengoni anaondoka nao
 
Mwendazake aliharibu sana biashara za watu..wengi wamebaki na makovu
Hapa umefikiria tofauti kwa suala la huyo mfanya biashara.

Kikubwa cha danadana zote hizo ni baada ya kifo cha Magufuli ndiyo Tra wakaanza figisu.

Magufuli angelikuwa hai hakuna authority yoyote ingethubutu kufanya huomchezo.

Fuatilia issue za huyo mfanyabiashara kuanzia kwenye ule mkutano wa wafanya biashara wote.

Alijituliza akisubiri kulipwa kwa namna alivyomwamini Rais na maagizo yake.

Lakini alivyokufa tu na figisu zikaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…