Tabora: Profesa Lipumba anahutubia kwenye Ziara ya Rais Samia kama nani?

Kama mwananchi wa mkoa wa Tabora,kwani hujui Lipumba ni mnyamwezi?
 
EeeenHeeee Heeee!

Erythro. bhwanaah!

Unasahau dawa ya usingizi inayoenezwa nchi nzima wakati huu?

Misamiati ni maneno kama: Maridhiano, uelewano, unyenyekevu, umoja..., n.k., n.k.. Unaweza kuongeza maneno matamu mengine yote unayoyajua wewe, ili usingizi uzidi kuwa mnono zaidi, huku CCM ikizidi kushikilia mpini.

Hakuna ubaya wowote na maneno hayo, mradi tu anayetakiwa kuwekwa usingizini awe na fahamu za kutambua matumizi yake wakati huu.

Hivi hujui kwamba harakati za 2025 tayari zimeshaanza? Mtakapozinduka toka usingizini, tayari mwenzenu atakuwa shamaliza kazi!
 
Kama kiongozi wa wazee wa mkoa wa tabora, lipumba Ni mwanaTabora
 
Tetesi zinasema hata Pasaka Njaa anapokea bahasha kutoka kwa Makamo Mwenyekiti wa chama Dola.
Hili halishangazi hata kidogo. Huyo Pasaka ni kifaa tu kinachotumiwa na yeyote anayeweza kulipa.

Hata CHADEMA siku moja wakiamua kukitumia kifaa hicho, sitashangaa kuona kikiimba nyimbo za CHADEMA kama kasuku.
 
Mama kachoka mapema sana, Lipumba Akubalike Tabora tangulini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…