mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Kusikiliza na kukubali are two different things 😅🙏🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusikiliza na kukubali are two different things 😅🙏🙏
Bado haupo labda unatunyemelea !Kenya kuna ukabila
Tanzania kuna udini
Hahahahahaha hata kama hawahusiki lazima itamkwe hadharani kuwa CHADEMA ni wapumbavu.mbona hawahusiki kwa lolote hapo[emoji51][emoji51]
Hapa ndio Kuna point kabisaaa.Kanisa katoliki kama ilivyo CCM nalo limeenda hadi ngazi ya shina.. na linaongoza kwa kuwa na waumini wengi zaidi hapa nchini na duniani kwa ujumla. Wanaposema waraka wao utasomwa kwenye jumuiya ina maana hadi wananchi wa vijiji vya ndani huko Buhigwe au Kalambo wataamshwa usingizini. CHADEMA wao mambo yao huishia tu mijini na Twitter kwahiyo damage yao ni ndogo kulinganisha na hiki wanachofanya TEC. [emoji23]
Igweeeeee.. Kucheleeee.. HureeeeView attachment 2722826
Baraza la TEC ni sawa wa wabunge wa ccm tangu uhuru na hawafikii! CCM Ina vilaza mnoKwa dhati kabisa ninawasihi wanaCCM tusije tukafanya kosa la kuwafananisha TEC na CHADEMA. Nimeona uzi wa ndugu Sir John Roberts akidai wanaCCM tuachiwe TEC kukabiliana nao. Naheshimu mawazo yake kama
Na wewe unaandikaga ukinyeo huku ndaniNaunga Mkono CCM ni tawi la Kanisa
Tanu ndio ilikuwa haina mwenyewe
Haka kaongo wangekauliza maswali hapo kanisani
Hakunaga Mchagga mbwiga, nimekupuuza!Na wewe unaandikaga ukinyeo huku ndani
Nimesikia fununu kwamba baada ya kuusoma waraka huo kwa wiki 6 wataitisha maandamano nchi nzima waumini wote wa kanisa katoliki watatakiwa kushiriki.Kwa dhati kabisa ninawasihi wanaCCM tusije tukafanya kosa la kuwafananisha TEC na CHADEMA. Nimeona uzi wa ndugu Sir John Roberts akidai wanaCCM tuachiwe TEC kukabiliana nao. Naheshimu mawazo yake kama onganisha serikali na wananchi huku wakitumia mbinu hatari ambayo sio ya kubeza.
Kwenye maandamano hawawezi thubutu. Wanajua balaa watakalokutana nalo.Nimesikia fununu kwamba baada ya kuusoma waraka huo kwa wiki 6 wataitisha maandamano nchi nzima waumini wote wa kanisa katoliki watatakiwa kushiriki.
Mahubiri yako peleka kanisani kwenu sio kwangu. Mimi nakuchukulia kama taahira.Heshima yangu iko full kikombe.
Haipunguzwi na neno lolote toka kwako isipokuwa itanifanya nijifunze mambo kadha wa kadha toka kwa watu wote hususani wa dizaini yako...
Umeongelea yote...
Zingine ni za kichawi, za kijambazi na hatari sana kwao na kwa wengine.
Vyema.
Hapo☝️☝️pamoja na kujichanganya kidogo, lakini at least umeonesha unaweza kufikiri vizuri. Jitahidi kuendelea hivi na mwisho wa siku utapatia na kuwa sawasawa, usijali....
Udini..!!!??? How exactly?
Hebu fafanua. Je, kukushauri umwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wako ndo nasababisha udini? No way!..... Ni ushauri tu, you can take or ignore it..!
Bado hoja ni mkataba wa bandari na DP World...
Vipi, wewe unauonaje sasa? Tuendelee na au mmeshapigwa na kuteguliwa ngoko zenu na TEC?
Injili ya Yesu Kristo lazima ihubiriwe kwa kila kiumbe ukiwemo wewe MamaSamia2025, ni lazima usikie na mwisho wa siku uamue kukubali au ukatae kuipokea.!!
Kwa heri, usiku mwema..
Hahahaaa unavitu vingi huvijui wewe kaulize kongo maandamano ya aina hiyo yalisababisha niniKwenye maandamano hawawezi thubutu. Wanajua balaa watakalokutana nalo.
BAKWATA WAKO VIZURI WANA AKILI,HAWATAWASIKILIZATEC watumie busara zaidi maana hiki chama chakavu hakikawii kuwaita BAKWATA ili mgogoro wa kuligawa Taifa uanze.
Kuna kundi la UVCCM linawakusanya Mashehe huku TMK ni kusambaza sumu za Udini
Umoja wetu wa Kitaifa ni TUNU ya kujivunia.
Waende zao wakakojoe na kulala.Sisi si watu wa kutishwa ovyo.Kwa dhati kabisa ninawasihi wanaCCM tusije tukafanya kosa la kuwafananisha TEC na CHADEMA. Nimeona uzi wa ndugu Sir John Roberts akidai wanaCCM tuachiwe TEC kukabiliana nao. Naheshimu mawazo yake kama
Kwani ule waraka wa Pasaka ulikuwa wakati wa nani kama sio JPM au hua mnasahau baada ya wiki.JPM alimind weee wakamwambia ule waraka usomwe hadi kwenye jumaiya serikali ikabidi itulie tu yaishe.Kama TEC wana ubavu mbona kwa Magufuli walinywea.