Tafadhali CCM tusiwachukulie poa TEC. Kuwakabili hawa ni tofauti na CHADEMA

Tafadhali CCM tusiwachukulie poa TEC. Kuwakabili hawa ni tofauti na CHADEMA

Wasifikirie TEC kama kupambana na yule ZUMARIDI
 
Kanisa katoliki kama ilivyo CCM nalo limeenda hadi ngazi ya shina.. na linaongoza kwa kuwa na waumini wengi zaidi hapa nchini na duniani kwa ujumla. Wanaposema waraka wao utasomwa kwenye jumuiya ina maana hadi wananchi wa vijiji vya ndani huko Buhigwe au Kalambo wataamshwa usingizini. CHADEMA wao mambo yao huishia tu mijini na Twitter kwahiyo damage yao ni ndogo kulinganisha na hiki wanachofanya TEC. [emoji23]


Igweeeeee.. Kucheleeee.. HureeeeView attachment 2722826
Hapa ndio Kuna point kabisaaa.
 
Kwa dhati kabisa ninawasihi wanaCCM tusije tukafanya kosa la kuwafananisha TEC na CHADEMA. Nimeona uzi wa ndugu Sir John Roberts akidai wanaCCM tuachiwe TEC kukabiliana nao. Naheshimu mawazo yake kama onganisha serikali na wananchi huku wakitumia mbinu hatari ambayo sio ya kubeza.
Nimesikia fununu kwamba baada ya kuusoma waraka huo kwa wiki 6 wataitisha maandamano nchi nzima waumini wote wa kanisa katoliki watatakiwa kushiriki.
 
Nimesikia fununu kwamba baada ya kuusoma waraka huo kwa wiki 6 wataitisha maandamano nchi nzima waumini wote wa kanisa katoliki watatakiwa kushiriki.
Kwenye maandamano hawawezi thubutu. Wanajua balaa watakalokutana nalo.
 
Heshima yangu iko full kikombe.

Haipunguzwi na neno lolote toka kwako isipokuwa itanifanya nijifunze mambo kadha wa kadha toka kwa watu wote hususani wa dizaini yako...

Umeongelea yote...

Zingine ni za kichawi, za kijambazi na hatari sana kwao na kwa wengine.

Vyema.

Hapo☝️☝️pamoja na kujichanganya kidogo, lakini at least umeonesha unaweza kufikiri vizuri. Jitahidi kuendelea hivi na mwisho wa siku utapatia na kuwa sawasawa, usijali....

Udini..!!!??? How exactly?

Hebu fafanua. Je, kukushauri umwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wako ndo nasababisha udini? No way!..... Ni ushauri tu, you can take or ignore it..!

Bado hoja ni mkataba wa bandari na DP World...

Vipi, wewe unauonaje sasa? Tuendelee na au mmeshapigwa na kuteguliwa ngoko zenu na TEC?

Injili ya Yesu Kristo lazima ihubiriwe kwa kila kiumbe ukiwemo wewe MamaSamia2025, ni lazima usikie na mwisho wa siku uamue kukubali au ukatae kuipokea.!!

Kwa heri, usiku mwema..
Mahubiri yako peleka kanisani kwenu sio kwangu. Mimi nakuchukulia kama taahira.
 
Kwenye maandamano hawawezi thubutu. Wanajua balaa watakalokutana nalo.
Hahahaaa unavitu vingi huvijui wewe kaulize kongo maandamano ya aina hiyo yalisababisha nini

Sio kila kitu ni cha kutumia nguvu ujue yatakorogeka na yatanyweka vyema
 
TEC watumie busara zaidi maana hiki chama chakavu hakikawii kuwaita BAKWATA ili mgogoro wa kuligawa Taifa uanze.

Kuna kundi la UVCCM linawakusanya Mashehe huku TMK ni kusambaza sumu za Udini

Umoja wetu wa Kitaifa ni TUNU ya kujivunia.
BAKWATA WAKO VIZURI WANA AKILI,HAWATAWASIKILIZA
 
Kama TEC wana ubavu mbona kwa Magufuli walinywea.
Kwani ule waraka wa Pasaka ulikuwa wakati wa nani kama sio JPM au hua mnasahau baada ya wiki.JPM alimind weee wakamwambia ule waraka usomwe hadi kwenye jumaiya serikali ikabidi itulie tu yaishe.
 
Back
Top Bottom