Tafadhali nidanganye kwa jambo lingine sio hili

Basi watapambana na gharika. Ndio maana mimi sitaki kabisa mliosoma mtaniharibia watoto
Na watoto wako wa kike watabaguliwa hivyo hivyo maana watakuwa wasomi.

Lakini uzuri ni kwamba tunapoelekea mtoto wa kike atakuwa anaweza kujitunza mwenyewe kimaisha so sidhani kama itakuwa tatizo maana wanawake wengi wanaolewa kwasababu ya kukosa kuelekeo wa maisha.
 
Hili ndio swali ambalo huwa najiuliza kila nikiona mada/comment ya mlengo huo.

Je hawa wakaka na wababa wanaoamini kinachozungumzwa hapa, mabinti zao wanaishia la saba au form four ili wasikose vijana wakuwaoa huko mbeleni?? Na kuna jitihada wanazofanya kuhakikisha mabinti zao wanapata elimu itakayowasaidia kuwa aina ya wanawake (watiifu or possibly submissive kabisa, waelewa, wachapakazi, wanaojali, walio dedicated kwenye malezi ya watoto wao etc.) kama ambao wao wanataka wake zao wawe??

If not, basi waache kutupigia kelele kila siku!πŸ₯΄
 
Apo tatzo ni malezi na sio elimu , sema kwa kukosa malezi mazuri elimu na uchumi uwapa viburi, binafsi nawashauri wanaotaka kuoa waoe wanawake waliotokea malezi ya baba na mama , tena kwenye familia inayotambua uongozi wa kifamilia kutokea kwa baba na mama kama msaidizi wa familia.
 
πŸ˜†πŸ˜†

Nyie mmetuchoka tu wanawake!!!Sasa hapo kuna ubaya gani jamani??? Au ndio dharau zinaanzaga hivi hivi!....?
 
Mimi nimeshajiuliza sana ila nikawa nabaki bila majibu sahihi ila uhalisia uliopo mtaani ni majibu tosha. Watu wanasomesha mabinti zao na wanawazingatia sana huku mitaani na hata humu jf wapo.

Hatuwezi kuwasema wake wasomi kuwa wana tabia za hovyo kwenye ndoa na kuona ni kosa kubwa kuoa wasomi huku tukiendelea na kupenda kuwasomesha watoto wetu wakike, ni wazi ni jambo la ajabu. Tunawaandalia nini kama tunajua hili?

Kwa hoja hii ni dhahiri hichi tunachoshahuriana humu na kupiga makelele kila mara ni ubatili mtupu na ieleweke ya kuwa nafasi ya mwanamke/mwanaume kwenye jamii ni ile ile.
 
Hujiona kama ni mtu anayeweza kuishi bila kumtegemea mwanaume, kwa hiyo hababaishwi wala hapangiwi. Ukishakosa utii kwa mwanaume basi mahusiano hayana maana tena.
ONCE AGAIN, BURN THIS INTO YOUR BRAIN:
Men provided resources and protection.
Women provided sex and (if wanted) children.
 
Do you really believe that???
Yani kitendo cha mtu kutokea kwenye familia ya mzazi mmoja au wawili automatically kinamfanya awe ama asiwe mke mzuri???

Kuna factors nyingi sana zinazofanya mtu awe hivi au vile, yakiwepo mazingira, malezi, personal traits, reasoning capacity, and so on. Hamna hata kimoja kinachoweza kuleta matokeo ya moja kwa moja bila kutegemeana na kingine.

Kwenye swala la malezi nakubaliana na wewe πŸ’―
 
Kama umezoea kunyanyasa na kuabudiwa kama mungu mtu basi upo sahihi kabisa.
Lakini kama wewe ni mtu wa haki, upendo, ukweli na akili basi upo mbali kabisa na usahihi.

Watu wake zao ni mawaziri na wakurugenzi na wanaheshimiwa wewe unazungumzia hivyo vi-degree vya kukariri na mtu ambaye ni mfanyakazi anayelipwa chini ya milioni moja.
 
Anaweza kuwa katokea wazazi wawili ila unakuta mama ndio sauti ya mwisho , akisema jambo mzee kimya , wa hivyo ni tatzo kubwa sana ,bora hata wa mzazi mmoja kwa apo inategemea kwel.
 
Ila walau awe na cheo au salary kubwa mara 2 ya Mke wake hapo kidogo atamheshimu.

Kiufupi maamuzi yanakuwa 60-40 tofauti na waliooa wamama wa nyumbani maamuzi ni 95-5% πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa lazima wawakomeshe Kwa sababu kama ni mtoto wako ni Heri awe na Ajira kuliko kuolewa.

Harafu Bado majinga Yako mengi wewe huoni matokeo ya form 2 na 4? Ili Dunia iende lazima wajinga wawe wengi kuliko werevu.
 
Ila walau awe na cheo au salary kubwa mara 2 ya Mke wake hapo kidogo atamheshimu.

Kiufupi maamuzi yanakuwa 60-40 tofauti na waliooa wamama wa nyumbani maamuzi ni 95-5% πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuoa Mwanamke asiye na kazi ni kipaji cha hali ya juu sana.
Yaani kuishi na mtu kama mfugo wako, hana maamuzi yoyote, yupo kinafikinafiki, hana challenge yoyote, umekosea anashindwa kukuambia kisa ati anaogopa utamfukuza na yeye hana pakwenda au maisha ya kujilisha hawezi. Sasa huyo ni mke au kinyangarika
 
Wanaume wengi kama sio wote tunataka hao vingangarika.

Hii niliwahi Kuiona hata China huko wanawake Wasomi wanateseka wameamua kununua Yale madildo yawafariji Kwa sababu wanaume wanawakwepa.

Kikubwa utii na amani full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…