Tafadhali nidanganye kwa jambo lingine sio hili

Mimi nimeshajiuliza sana ila nikawa nabaki bila majibu sahihi ila uhalisia uliopo mtaani ni majibu tosha. Watu wanasomesha mabinti zao na wanawazingatia sana huku mitaani na hata humu jf wapo.

Hatuwezi kuwasema wake wasomi kuwa wana tabia za hovyo kwenye ndoa na kuona ni kosa kubwa kuoa wasomi huku tukiendelea na kupenda kuwasomesha watoto wetu wakike, ni wazi ni jambo la ajabu. Tunawaandalia nini kama tunajua hili?

Kwa hoja hii ni dhahiri hichi tunachoshahuriana humu na kupiga makelele kila mara ni ubatili mtupu na ieleweke ya kuwa nafasi ya mwanamke/mwanaume kwenye jamii ni ile ile.
Kuna namna tunafeli kama jamii...
Kwanza kwakujumuisha mambo kwa namna ambayo hatutoi nafasi ya kutafuta mzizi haswa wa tatizo u-wapi. Pili, kwakukimbilia solution ambazo sio reasonable, practical wala realistic.

Kwa mwenendo huu + mentality iliyotawala kwa sasa , miaka ijayo itakua na wasomi wengi wanawake na single mothers tutakua tumeongezeka mpaka waoaji wachanganyikiwe.
 
Binadamu ni kiumbe mbinafsi sana, anajiwaza yeye tu na mazuri anayopenda ayapate.

Matatizo ya kijamii ya usomi wa wanawake ni BORA na yana vumilika (bearable ) kuliko matatizo ya kijamii ya wanawake kutokusoma na kutokupata fursa za kutengeneza kipato.

Think, rethink. Ya’ll dwelling in the past, mnaishi katika dunia ya sasa wakati huo mnatamani dunia ya zamani, na wakati huo huo kwasababu hamjaishi zamani hamna uhakika na uzuri na ubaya wa huo ukale.

Napata kuamini hata mngeletewa contena la wanawake wa zamani, wasiosoma wala kujishughulisha bado tu mngelalamika.
 
Kuna namna tunafeli kama jamii...
Kwanza kwakujumuisha mambo kwa namna ambayo hatutoi nafasi ya kutafuta mzizi haswa wa tatizo u-wapi. Pili, kwakukimbilia solution ambazo sio reasonable, practical wala realistic.

Kwa mwenendo huu + mentality iliyotawala kwa sasa , miaka ijayo itakua na wasomi wengi wanawake na single mothers tutakua tumeongezeka mpaka waoaji wachanganyikiwe.
Single mom mtakuwa mnajifariji na mtakuwa mumewalea Watoto wenu kuwa mazombie maana wanawake hawawezi kulea mtoto kuwa mkakamavu.
 
Tuache mitandao iitwe mitandao, inatanda kweli kweli. Kuna indivijuo mmoja hapa kacomment kupondea sana, lakini ana mke msomi mno tena familia yake ina amani sana, nweiz labda mimi ndo sijui.

Suluhisho...Labda watoto wa kike wasisomeshwe??? Labda ziwepo ajira zitakazomfanya mwanamke akae nyumbani huku anajiingizia kipato...Labda kuwe na mfumo wa wanawake kufanya kazi nusu siku na malipo pia yapunguzwe lets say 08:00am to 01:59pm ili kuwaruhusu wawe na gap ya kuwa the wives...Labda, labda, labda.

Mwanamke amchaye bwana ndiye atakaesifiwa, bible ndo inasema hivi. It means mke mwema, anatakiwa amche Bwana. Na uchaji inataka obedience na humility. So, ukiona mke hakuheshimu, hakutii...siongezei neno. Lakin nimeandika na kuandika sana humu, wanaume mnataka a lady gaga with a touch of mercy masika, wapi na wapi bwana! Wanawake wanaowavutia ni wasomi na qualities za kimwili nzuri, career ladies wanawavuta mno na ndo mnachepuka nao, hata miaka mitano afu mnasema sio wife material huku mmewanunulia nyumba, magari. Mkeo nyumbani ambaye hajasoma unaruhusu atembee na miguu kuchwa kutwa huku humshirikishi kwa chochote. Na tunao mfano huku kwa mkuu mmoja ambae ana such wife na such side chik...wote tunamjua!na wengi mnamsupport.

Mke mwema amjue Mungu, awe mchaji (sio ndo fanatic and zealot), aheshimu kila mtu etc...Lakin mkikutana nao hamuwataki, mna qualities zenu na ndo hizo zinawacost. Labda...acha ninyamaze.
 
Na watoto wako wa kike watabaguliwa hivyo hivyo maana watakuwa wasomi.

Lakini uzuri ni kwamba tunapoelekea mtoto wa kike atakuwa anaweza kujitunza mwenyewe kimaisha so sidhani kama itakuwa tatizo maana wanawake wengi wanaolewa kwasababu ya kukosa kuelekeo wa maisha.
Ndoto ya mwanamke yeyote ni kuolewa uwe msomi au hujasoma kuishi alone unakuwa mchawi na problematic kwenye jamii.

Pili kusoma tuu sio guarantee ya kupata pesa Bali unatakiwa upate pesa Ili Kuendesha maisha na Hadi kesho huko Dunia iliyotangulia mwenye pesa ni mwanaume zaidi kuliko mwanamke maana Kuna Baadhi ya kazi hakuna mtu anapolea mwanamke.
 
Mimi niiteni majina yote mnayotaka nitaendelea kushikilia ninacho amini.

Naamini kuwa; kwa muda mrefu sana mwanaume amefanikiwa kuitawala dunia kwa “hila” na ujanja ujanja. Huu uzi ni purely manipulation, ni evidence za mwendelezo wa ujanja ujanja wa kiumbe Me.

Naelewa kuwa hatuwezi ku Co-exist bila tabaka moja kukandamiza lingine, this is okay but….. habari mbaya ni kwamba huwezi kumkandamiza binadamu milele, tuzoee ndiyo dunia tunayoishi.
 
Tuache mitandao iitwe mitandao, inatanda kweli kweli. Kuna indivijuo mmoja hapa kacomment kupondea sana, lakini ana mke msomi mno tena familia yake ina amani sana, nweiz labda mimi ndo sijui.

Suluhisho...Labda watoto wa kike wasisomeshwe??? Labda ziwepo ajira zitakazomfanya mwanamke akae nyumbani huku anajiingizia kipato...Labda kuwe na mfumo wa wanawake kufanya kazi nusu siku na malipo pia yapunguzwe lets say 08:00am to 01:59pm ili kuwaruhusu wawe na gap ya kuwa the wives...Labda, labda, labda.

Mwanamke amchaye bwana ndiye atakaesifiwa, bible ndo inasema hivi. It means mke mwema, anatakiwa amche Bwana. Na uchaji inataka obedience na humility. So, ukiona mke hakuheshimu, hakutii...siongezei neno. Lakin nimeandika na kuandika sana humu, wanaume mnataka a lady gaga with a touch of mercy masika, wapi na wapi bwana! Wanawake wanaowavutia ni wasomi na qualities za kimwili nzuri, career ladies wanawavuta mno na ndo mnachepuka nao, hata miaka mitano afu mnasema sio wife material huku mmewanunulia nyumba, magari. Mkeo nyumbani ambaye hajasoma unaruhusu atembee na miguu kuchwa kutwa huku humshirikishi kwa chochote. Na tunao mfano huku kwa mkuu mmoja ambae ana such wife na such side chik...wote tunamjua!na wengi mnamsupport.

Mke mwema amjue Mungu, awe mchaji (sio ndo fanatic and zealot), aheshimu kila mtu etc...Lakin mkikutana nao hamuwataki, mna qualities zenu na ndo hizo zinawacost. Labda...acha ninyamaze.
Wewe unaona Ina amani ila ni ameamua kuuza uanaume wake Kwa mwanamke Kwa sababu hana chaguo na Kuna wale wanaume Huwa hawana uwezo wa kuacha.
 
Mimi niiteni majina yote mnayotaka nitaendelea kushikilia ninacho amini.

Naamini kuwa; kwa muda mrefu sana mwanaume amefanikiwa kuitawala dunia kwa “hila” na ujanja ujanja. Huu uzi ni purely manipulation, ni evidence za mwendelezo wa ujanja ujanja wa kiumbe Me.

Naelewa kuwa hatuwezi ku Co-exist bila tabaka moja kukandamiza lingine, this is okay but….. habari mbaya ni kwamba huwezi kumkandamiza binadamu milele, tuzoee ndiyo dunia tunayoishi.
Bizazi vijavyo ndio watapata shida sana maana Yale masheria ya kisengerema yataletwa na huku Kwa hiyo watakuwa wanaoana badala ya mwanaume kuoa.

Sijajua Sasa kama mahari ataendelea kulipa mwanaume au laa.
 
Kuoa Mwanamke asiye na kazi ni kipaji cha hali ya juu sana.
Yaani kuishi na mtu kama mfugo wako, hana maamuzi yoyote, yupo kinafikinafiki, hana challenge yoyote, umekosea anashindwa kukuambia kisa ati anaogopa utamfukuza na yeye hana pakwenda au maisha ya kujilisha hawezi. Sasa huyo ni mke au kinyangarika
Mkuu wewe sasa unazungumzia Mwanamke mjinga........sisi tunaongelea wenye kazi na wasomi.......kama hakusoma degree sio kwamba ni mjinga kama unavyotaka tuamini.
 
Mimi niiteni majina yote mnayotaka nitaendelea kushikilia ninacho amini.

Naamini kuwa; kwa muda mrefu sana mwanaume amefanikiwa kuitawala dunia kwa “hila” na ujanja ujanja. Huu uzi ni purely manipulation, ni evidence za mwendelezo wa ujanja ujanja wa kiumbe Me.

Naelewa kuwa hatuwezi ku Co-exist bila tabaka moja kukandamiza lingine, this is okay but….. habari mbaya ni kwamba huwezi kumkandamiza binadamu milele, tuzoee ndiyo dunia tunayoishi.
Kwani hapa tunaongelea Ukandamizaji dhidi ya binadamu?

Hapa tunaongelea mstakabali wa Amanu na Raha kwenye ndoa.

Wewe unatuletea mambo ya Hamas?

Unachanganya mada.
 
Mi ninae wa la 7 b yaani ni hivi ana smartphone mitandao ya kijamii anayo ila hajui hili wala lile zaidi apige na apokee simu iwe na bundle isiwe nalo hana habari!

Siombei tuachane au afe aniache ila ukweli iwe tumeachana au ametangulia huko siwezi na sifikirii kuoa mwanamke msomi au much know.

Labda wapo wasio na makuu ila ni 1 kati ya 100

Huyu niliye naye naishi kama mfalme flani hivi,
Nampelekesha nitakavyo na wala sioni dalili za kukimbiwa sijawahi kujuta kumuoa

Kwa ujumla mume anahitaji faraja ya ndani na utii kuliko mashindano ya kwenye ndoa, wanawake ni chanzo cha migogoro kwenye ndoa wanaume nao wamejishusha mno kupita kiasi.

Hii dunia ipo chini ya mwanaume siku zote kwa kila jambo ni vile tu tunanyang’anywa wajibu wetu kwa kisingizio cha haki sawa.

The unpaid seller you nill it be blessed!
 
Kwani hapa tunaongelea Ukandamizaji dhidi ya binadamu?

Hapa tunaongelea mstakabali wa Amanu na Raha kwenye ndoa.

Wewe unatuletea mambo ya Hamas?

Unachanganya mada.
Hapana sichanganyi mada, ni developing comment kutoka kwenye comment za baadhi ya member katika kutafafanua msingi wa tatizo.

Its okay not to understand everything.
 
Back
Top Bottom