Kila amwaminiye Yesu ajapokufa anakuwa hai. Hivyo nikifa, usihangaike kuniombea.Subiri kwanza uwe mfu ndio uje na hizi ngonjera zako
Kuna hekima na kuna kinyesi cha hekima ... mleta uzi kama lengo lako ni la kuelimisha basi wewe ni kinyesi cha hekima ...maana muda ulioleta hii mada siyo sahihi kwa sababu unaonekana lengo lako ni kuunga mkono mauaji ya Oct 29 ...swali la logic kwa nini hii hoja unaileta siku za maombolezo ya mauaji ya Oct 29 ...viongozi wa kidini wamekuwa wakitumika kuombea wafu hata kwenye matukio ya kitaifa mfano ni ajali ya MV BUKOBA NA VIFO VYA MARAIS NKKatika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu:
Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde hiyohiyo ama anaenda peponi kwenye raha au kuzimu kwenye mateso yasiyokoma. Mtu ambaye tayari yuko kuzimu kwenye mateso, hawezi kutolewa huko na kuingizwa peponi kwa sala zetu, hata tukimuombea kwa kulia sana na kuomboleza na kugaragara chini. Maandiko yanasema wazi kabisa baada ya kifo ni hukumu (Waebrania 9:27).
Kwa habari zaidi kuhusu hoja hii, soma kisa cha tajiri na Lazaro katika Luka 16:19-31 utaona wazi kwamba walioko kuzimu hawawezi kuhamia peponi and vice versa.
Kama kweli unampenda mtu, muombee sasa, akiwa bado hai. Ukiona anaishi maisha ya dhambi, muombee Mungu amsamehe, apate wokovu na aishi maisha yanayompendeza Mungu. Usisubiri azikwe ndio uanze kumlilia Mungu amuweke mahali pema. Utakuwa unapoteza muda wako bure.
Kuliko utenge muda wako kuwaombea wafu, heri ushike jembe ukalime!
Rafiki, mimi niliishatubu dhambi. Nimeokoka. Nimezaliwa upya.Wewe ukiwa unatenda dhambi zako mbona hauniiti nije nikushauri ikiwa umeona umuhimu wa kunishauri mimi niache dhambi ya kuombea wafu wangu?
Au msabato wewe mwenzetu ndiyo umeshamaliza dhambi tena hautendi!
Umeingia moyoni mwangu ukaona lengo langu ndio hilo?Kuna hekina na kuna kinyesi cha hekima ... mleta uzi kama lengo lako ni la kuelimisha basi wewe ni kinyesi chahekima ...maana muda ulioleta hii mada siyo sahihi kwa sababu unaonekana lengo lako ni kuunga mkono mauaji ya Oct 29 ...swali la logic kwa nini hii hoja unaileta siku za maombolezo ya mauaji ya Oct 29 ...viongozi wa kidini wamekuwa wakitumika kuombea wafu hata kwenye matukio ya kitaifa mfano ni ajali ya MV BUKOBA NA VIFO VYA MARAIS NK
Huyo yesu asiyejua hata maana ya maneno yake mwenyewe ni yesu wa jalapeño...Yesu hajui hata 666ni nini?Umeingia moyoni mwangu ukaona lengo langu ndio hilo?
Yesu ameniagiza kuhubiri Injili wakati wowote. Iwe kuna msiba au arusi. Any time is a good time to share the gospel.
2 Timotheo 4:1-2
"Nakuamuru mbele ya Mungu, na mbele ya Kristo Yesu atakayewahukumu watu walio hai na wafu, na kwa sababu anakuja kutawala akiwa Mfalme: Hubiri huo ujumbe, sisitiza kuutangaza (iwe ni wakati wa kufaa au wakati usiofaa), karipia, onya na himiza watu ukiwafundisha kwa uvumilivu wote."
Tubu hizo dhihaka zako mapema. Vinginevyo utalia na kusaga meno siku ya kuja kwa YesuHuyo yesu asiyejua hata maana ya maneno yake mwenyewe ni yesu wa jalapeño...Yesu hajui hata 666ni nini?
Pole sana MgosiMnubi. Maandiko niliyoyanukuu bado tu hujayaelewa?!kuanzia tarehe moja mwezi WA kumi na moja Kila mwaka ni mwezi wa kuwaombea na ni mwezi wao marehemu.
unaalikwa muamini wowote kutumia nafasi yako ukiwa hapa duniani kuwaombea walioko toharani,
Raha ya milele uwape eeh bwana na mwanga wa milele uwaangazie.
Marehemu wote wa starehe kwa amani.Amina🙏
kasome tena ayo maandiko na utafakari pia,happy sabath mkuuPole sana MgosiMnubi. Maandiko niliyoyanukuu bado tu hujayaelewa?!
Acha stori za mababu, utapotea. Maandiko niliyokutajia sio ya Waebrania. Ni Maandiko ya Mungu mwenyewe.Ukaachana na hao waebrania wanavyosema kuhusu kuwaombea wafu, katika ukoo wenu babu wanasemaje kuhusu kuwaombea wafu
Wapuuzi mnamsingizea sana Yesu ....na hizo injili zenu fekiTubu hizo dhihaka zako mapema. Vinginevyo utalia na kusaga meno siku ya kuja kwa Yesu
Ufunuo 1:7-8
“Tazama! Anakuja na mawingu,” na “kila jicho litamwona, hata wale waliomchoma”; na makabila yote duniani “yataomboleza kwa sababu yake.” Naam, ndivyo itakavyokuwa! Amen. “Mimi ni Alfa na Omega,” asema Bwana Mungu, “aliyeko, aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.”
Yesu aliivunja Sabato, wewe bado tu unaisherehekea?!kasome tena ayo maandiko na utafakari pia, happy sabath mkuu
Injili ninayohubiri sio feki. Ushahidi huu hapaWapuuzi mnamsingizea sana Yesu ....na hizo injili zenu feki
marko2 :27-28 happy sabath dadaYesu aliivunja Sabato, wewe bado tu unaisherehekea?!
Yesu Kristo alipokuja duniani alifanya mambo mengi ambayo hayaruhusiwi kufanywa siku ya Sabato. Kwa mfano, aliwaponya wagonjwa na pia aliwaruhusu wanafunzi wake wavunje masuke ya nafaka siku ya Sabato.
Hiyo ilikuwa kinyume na sheria ya Sabato. Wakati wa Musa, Mungu aliwaagiza Wana wa Israeli wapumzike siku ya saba ili kukumbuka jinsi walivyokuwa watumwa katika nchi ya Misri na jinsi BWANA Mungu alivyowatoa utumwani na kuwapa pumziko(Kutoka 20:8-11)
Yesu Kristo alipokuja alisema hakuja kuitangua torati bali kuitimiza. Kama ni hivyo, kwanini sasa kuna Maandiko mengi yanayoonyesha kuwa Yesu...
- Setfree
- hizi kristo sababu sabato yesu yesu kristo
- Replies: 113
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Ufunuo 22:10-12Hakika!!! Kila mtu atalipwa kwa kadri ya matendo yake... Kama ni mema au mabaya.