Umenukuu Maandiko yanayothibitisha vizuri uzi wangu huo.marko2 :27-28 happy sabath dada
Yahani akina Ibra,Yakobo Issac,Daudi, Mfalme Sele,... To mention few. Wote ni marehemu.Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu:
Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde hiyohiyo ama anaenda peponi kwenye raha au kuzimu kwenye mateso yasiyokoma. Mtu ambaye tayari yuko kuzimu kwenye mateso, hawezi kutolewa huko na kuingizwa peponi kwa sala zetu, hata tukimuombea kwa kulia sana na kuomboleza na kugaragara chini. Maandiko yanasema wazi kabisa baada ya kifo ni hukumu (Waebrania 9:27).
Kwa habari zaidi kuhusu hoja hii, soma kisa cha tajiri na Lazaro katika Luka 16:19-31 utaona wazi kwamba walioko kuzimu hawawezi kuhamia peponi and vice versa.
Kama kweli unampenda mtu, muombee sasa, akiwa bado hai. Ukiona anaishi maisha ya dhambi, muombee Mungu amsamehe, apate wokovu na aishi maisha yanayompendeza Mungu. Usisubiri azikwe ndio uanze kumlilia Mungu amuweke mahali pema. Utakuwa unapoteza muda wako bure.
Kuliko utenge muda wako kuwaombea wafu, heri ushike jembe ukalime!
ndoivo ulivo elewa dada?Umenukuu Maandiko yyanayothibitisha vizuri uzi wangu huo.
"Basi, Yesu akawaambia, “Sabato iliwekwa kwa ajili ya binadamu na si binadamu kwa ajili ya Sabato! Kwa hiyo, Mwana wa Adam ana uwezo hata juu ya Sabato.”
NDIYO SABABU YESU ALIIVUNJA SABATO kwa sababu yuko juu ya Sabato
Mbona umechanganyikiwa ? Unanilisha maneno ambayo sikusema ...wewe utakuwa una geto MILEMBE siyo bure...wachawi mbona wengi tuInjili ninayohubiri sio feki. Ushahidi huu hapa
Hii ni habari ya kweli kabisa. Uongo mimi nauchukia kama ukoma.
Kama huamini kuna wachawi, sikiliza vizuri: Hivi majuzi, walikuja usiku, muda mfupi baada ya mimi kujilaza kitandani. Wakaanza kunikandamiza kwa nguvu sana. Mgandamizo ulikuwa mzito, utafikiri mtu ameweka juu yangu mifuko mitano yenye saruji. Sio mzaha, nakwambia.
Sijawahi kuhisi uzito huo kamwe. Haraka sana nilitambua ni wachawi wanaotumiwa na mapepo kujaribu kunidhuru. Nikaanza kuwakemea kwa Jina la Yesu - kwa sauti ndogo, lakini yenye mamlaka watoke na kuniachia. Instantly, waliniacha na mgandamizo ule ukatoweka. Jina la...
- Setfree
- mbwa
- Replies: 314
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Sabath ilikuwa inaumiza kabla Yesu hajaivunja. Hata sasa Wanaofuata sheria zilezile za mwanzo za Sabath wanaumia. Soma huo uzi kwa makini utaelewa nilimaanisha nini kusema: Yesu aliivunja Sabatondoivo ulivo elewa dada?
sabath haijawekwa ili kuwaumiza watu sabatho IPO ili watu tule Bata na kuenjoy na sio kufata Sheria ngumu ngumu ijui usifanye hivi mara usifanye vile na sio kwamba aliivunja sabatho"uo ni UWONGO"
SAWASabath ilikuwa inaumiza kabla Yesu hajaivunja. Hata sasa Wanaofuata sheria zilezile za mwanzo za Sabath wanaumia. Soma huo uzi kwa makini utaelewa nilimaanisha nini kusema: Yesu aliivunja Sabato
Sisi hatuwaombei wapumzike kwa Amani, tunawakumbuka tu, yaani tuna celebrate maisha yaoKatika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu:
Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde hiyohiyo ama anaenda peponi kwenye raha au kuzimu kwenye mateso yasiyokoma. Mtu ambaye tayari yuko kuzimu kwenye mateso, hawezi kutolewa huko na kuingizwa peponi kwa sala zetu, hata tukimuombea kwa kulia sana na kuomboleza na kugaragara chini. Maandiko yanasema wazi kabisa baada ya kifo ni hukumu (Waebrania 9:27).
Kwa habari zaidi kuhusu hoja hii, soma kisa cha tajiri na Lazaro katika Luka 16:19-31 utaona wazi kwamba walioko kuzimu hawawezi kuhamia peponi and vice versa.
Kama kweli unampenda mtu, muombee sasa, akiwa bado hai. Ukiona anaishi maisha ya dhambi, muombee Mungu amsamehe, apate wokovu na aishi maisha yanayompendeza Mungu. Usisubiri azikwe ndio uanze kumlilia Mungu amuweke mahali pema. Utakuwa unapoteza muda wako bure.
Kuliko utenge muda wako kuwaombea wafu, heri ushike jembe ukalime!
Sitetei kwamba ibada ya kuombea wafu ni sahihi, ila kama upo deep zaidi lile Baraza la Nicea lina mengi sana ni vile tu watu hawapendi kufuatilia hasa kwetu Africa.Hakika.... vitabu vya makabayo havijavuviwa na ROHO mtakatifu.
Kama Baraza la Nicea lina mengi, taja mambo mawili ya Baraza hilo yanayohusiana na mada hii tuyajadiliSitetei kwamba ibada ya kuombea wafu ni sahihi, ila kama upo deep zaidi lile Baraza la Nicea lina mengi sana ni vile tu watu hawapendi kufuatilia hasa kwetu Africa.
Unaukumbuka mkutano wa Berlin? Humu wangekuwepo bado active kina Eyer, juve2012 ungenielewa.
Samahani Kiongozi naomba nitoee kidogo maoni kuhusu mada yako ni kweli logic ya mawazo yako yanapaswa yapewe heshima sababu ni mawazo binafsi na mtazamo wako haujawa mbaya at all but ukiichunguza biblia vizuri kwa kusoma unaona kitabu cha wamakabayo ambacho kinatumika katika Catholic side na Orthodoxy ambacho ni vya Deutekeranoni lakini kuna mtu awali alisema kitabu hicho hakikuvuviwa na Roho Mtakatifu basi tuangalie kitabu cha timotheoKama Baraza la Nicea lina mengi, taja mambo mawili ya Baraza hilo yanayohusiana na mada hii tuyajadili
Ni kweli uko sahihi kwamba aliyesema baraza la nicea halikuongelea swala la Maombezi ya Marehemu ila namsupport kwa kutia hapo baraza lililoongelea maswala hayo although may sound too Catholic unaruhusiwa kuyapinga but kama unataka kujifunza zaidi siku moja moja si mbaya kupitia hiii council of trent ambayo ilikuja tu baada ya Protestant ReformationKama Baraza la Nicea lina mengi, taja mambo mawili ya Baraza hilo yanayohusiana na mada hii tuyajadili
Moja wapo hilo limeongelewa hapo kuhusu makabayo kwamba ni Apocrypha book walokole huwa mnajifanya biblia mnaijua sana ili hali Roman Catholic ndiyo waliyo amua kipi kiingizwe kipi kiachwe chunguza hata idadi kubwa ya wana reforms walikuwa ni Kasisi wa Roman Catholic mfano M.Luther.Kama Baraza la Nicea lina mengi, taja mambo mawili ya Baraza hilo yanayohusiana na mada hii tuyajadili