Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

NAfikiri Mindset za Watu inabidi ibadilike..
Daktari hayupo kwa ajili ya kutamani mkeo..

Yupo kwa ajili ys kuhakikisha mkeo anapata matibabu stahiki ma kwa mida muafaka..
Kama ukiweza unawwza kumtibu nyumban mkeo au Muachie Daktari ashughulike naye..
 
Mmmnh ya kweli Ms R..!! au kuna lingine tofauti na hlo..?
kweli kabisa,, ingawa kwa private hospitals wahudumu wote wako na care nzuri sanaaaa.

Apo n uhalisia kabisa coz hospital nloenda mm wadada tu walkua care mda wa dawa mnaitwa majina mnapewa dawa kisha wanaondoka nazo kesho tena mnaletewa hao n wadada huduma iv.

turud kwenye kujifungua sasa nilihudumiwa na wanaume aloooh ile huduma ni super perfect 🥳.
 
 
Anawasaidia avae tu kinga maana nguvu hakuna
 
Busara sana hii. Hata hivyo kwenye jamii zetu si inasemwa semwa wanawake hampendani. Je, hii kauli ni ya kweli? ephen_
Ni ya kweli kiujumla lakini kuna wanawake hawana tatizo na wanawake wenzao

Chanzo ni mwanamke anataka kua bora kuliko mwanamke mwingine.
Jambo ambalo haliwezekani...!

Ukishajua 'Mungu anagawa kwa kila mtu kwa wakati wake na mapenzi yake'
Chuki husda wivu wa kijinga hutovipa nafasi.

'MUNGU NI WETU SOTE'
 
Hyo sio solution, kuna wakat wa mahudhurio ya clinic wanapopimapima njia sio mara zote nitakuwepo...hujaona kesi imetoka kuelezewa hapo muda si mrefu.
Huyo mkeo ni mtoto mdogo hadi um-babysit namna hiyo? Au huwa anaingia kwa daktari akiwa amezimia?
 
Serikali ina hangaika kutengeneza madaktari, ninyi wana kijiji mnapanga kuwa twanga madaktari badala ya kuwatia moyo na mazingira yalivyo mabovu.

Kama anatabia yeyote unethical kuna sehemu ya kureport na litashughulikiwa. Mkimtwanga Daktari, ni Daktari gani atataka kuja kufanya kazi huko?
 
Mtibu mke wako kwako
 
Mzalishe mkeo mwenyewe hapo home. Problem solved
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…