Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasema wazungu waliwasingizia waarubu,waarabu ni watu wema hawakufanya biashara ya utumwa.Waarabu walikuwa wafanyabiashara wakubwa wa biashara ya utumwa na ujangili wa wanyamapori.
Hiyo historia itabaki hivyo, penda usipende.
Nachukulia neno Udini kutokea kwako linamaanisha Uislam.Udini tu umekujaa wewe Ajuza
Hapa tutaambiwa ni mzungu amefanya editing.FaizaFoxy , asante sana kwa mada hii. Naomba kukiri mimi ni miongoni mwa tulio ingizwa chaka na michoro hii, kumbe tulikuwa tunadangwa kwa michoro ya kuchorwa, jee vipi kuhusu zile picha za camera, kama hizi
View attachment 2212044
nazo ni za uongo?.
PUdhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama
Wanabodi, Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu ya kisasa, walileta maendeleo mbambali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii vikiwemo viwanda, miundombinu, maendeleo ya kilimo, ila pia...www.jamiiforums.com
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.
Nayaleta haya kwa kuwa bila ya kuyaongea na kuyaweka wazi hayatakoma na wale tulioaminishwa ujinga huu tujionee jinsi tunavyosomeshwa ujinga.
Tafadhali jionee hii video kabla hujajibu kijinga...
Anasema wazungu waliwasingizia waarubu,waarabu ni watu wema hawakufanya biashara ya utumwa.
Hahahahaha, umeitazama videoiliyobeba mada au unangoja mpaka shemeji arudi ndiyo upate kifurushi? Au unapayuka tu. Ya wakati wa bwana yule nimeshayajibu juu huko, sina haja ya kuyarudia.Anarukaruka. Wabaya ni waarabu. Roho mbaya. Udini haukusaidii. Alafu hizi habari zinaanza kurudi saa hii. Mbona kipindi cha jiwe mlikuwa kimya? Huwezi kutenganisha biashara ya utumwa na uislamu. Dunia nzima. Libya tu karne hii bado wanauza binadamu. Na dini lenu linaamini katika kumiliki watumwa kama muasisi wenu.
Waarabu ndio mashetani wa dunia. Na laana ipo juu yao. Wametesa sana yani, wamebaka, wamewahasi , wewe mwenyewe kama unayo damu yao ujue alibakwa mtu. Hawasafishiki. Nenda basi ata Bagamoyo pale ukajifunze kuhusu biashara ya utumwa na hao mabwana. Uislamu unaamini katika kumiliki slaves. Ni hatari. Na ndiyo moja ya justification za waarabu. Wazungu walikuwa wanawanunua sokoni ila aliekuwa anaingia machakani kuwatafuta ni mwarabu. Simpendi kamwe.Hahahahaha, umeitazama videoiliyobeba mada au unangoja mpaka shemeji arudi ndiyo upate kifurushi? Au unapayuka tu. Ya wakati wa bwana yule nimeshayajibu juu huko, sina haja ya kuyarudia.
Weka ushahidi, au walikubaka na wewe?Waarabu ndio mashetani wa dunia. Na laana ipo juu yao. Wametesa sana yani, wamebaka, wamewahasi , wewe mwenyewe kama unayo damu yao ujue alibakwa mtu. Hawasafishiki. Nenda basi ata Bagamoyo pale ukajifunze kuhusu biashara ya utumwa na hao mabwana. Uislamu unaamini katika kumiliki slaves. Ni hatari. Na ndiyo moja ya justification za waarabu. Wazungu walikuwa wanawanunua sokoni ila aliekuwa anaingia machakani kuwatafuta ni mwarabu. Simpendi kamwe.
Hii nyama tamu sana kushinda ya ngamia anayeombewa analala mwenyewe anachinjwa.
Haitaondoa ukweli waarabu ndio walichagiza utumwa na kumfanya mtu mweusi mnyama.Anhaa, umitazama video? Umeona ni nani anaeleta chokochoko? Usiiogope kajitazame mule ujione.
Unasema nchi ilitulia? Hujayaona humu JF yakitangazwa kila siku vinaokotwa viroba vya maiti baharini? Hujasoma humu JF kina Ben Saa nanena Gwanda wako wapi? Hujasoma humu Tundu Lissu kakosa kuuliwa katiwa ulema wa maisha> Huo ndiyo kikwenu utulivu?
Nakushauri ukajitazame kwenye video humo, usitake kujaza watu ujinga wasiokuwa nao.
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.
Nayaleta haya kwa kuwa bila ya kuyaongea na kuyaweka wazi hayatakoma na wale tulioaminishwa ujinga huu tujionee jinsi tunavyosomeshwa ujinga.
Tafadhali jionee hii video kabla hujajibu kijinga...
Hao mabeberu walikuwa wananunua watumwa kutoka kwa waarabu na kuwapeleka huko Marekani.Tupe story yake, usifikiri kila mtu anakielewa ulichojazwa nacho wewe ujinga na ndiyo maana nimeweka video hapa ili tusiendelee kujaana ujinga.
Historia yote uliyosomeshwa shule ni uongo mtupu, juu chini, chini juu. Hivi upewe elimu na Mwingereza, mzungu, halafu yeye ajiponde? Fikiri japo kiduchu.