Tafakuri ya FaizaFoxy 9: Ushauri kwa Rais Samia, Dr. Hussein Mwinyi na Watanzania wote kuhusu Uchumi wa Bandari wenye tija

Hiyo kazi atafanya DP WORLD au sisi tujenge alafu tumpe DP WORLD?
 
Umekiri kumbe kuwa mkataba wa Bandari na DP World Hauna win win situation.

Wajinga walishaisha Nchi hii,

Pia mipango Yako na mawazo Yako uwe unamshirikisha Mungu,

Maana unajuaje mipango ya Mungu maeneo uyatajayo yakamezwa na Bahari?

Tumeshaingia msimu mpya , kuanzia 2024 utaona usotarajia.
 
Huwezi kufanya hayo kama DPW atapewa mkataba kama ulivyo sasa.

Hayo mamlaka yatakuwa ya DPW.
Ndio maana watu wanasema mkataba urekebishwe au uachwe na hawana nia mbaya wala ubaguzi ni wapo makini tu.

Mkataba unasema fulsa zote za Bandari zote hazitafanywa na yeyote bila ridhaa na ruhusa ya DPW.

Tunavyo ongea ongea msidhani tunatania.
Tunailinda Tanzania dhidi ya hila za Wakoloni Mambo Leo.

Soma ewe Nabii Ummi.

'iiqra ya nabi 'umiy
إقرأ يا نبي أمي
 
Mimi Kwa hili nakuunga mkono kabisa...Leo umeweka madini, maana Unguja haina land ya kutosha ila Ina uwezo wa kuwa na bandari kubwa kuliko hata sisi na Kwa jinsi hii pande zote mbili za Muungano zitakuwa zime complement each other
 
Kamuulize Mwinyi amefika wapi na Uchumi wa Blue?
 

Zanzibar ina ardhi ndogo kujenga Bandari kubwa maana yake wazanzibar kuendelea kujazana huku Bara.
 
Shida imekuja hapo uliposema bandari alafu treni tubebee mizigo!

Zaidi bandari haitafanya kazi inavyotakikana...!

Pia tuna weza ichangamsha Pemba na Tanga Zika unganishwa, pia Bandari ya Tanga ika fanya kazi kwa ufanisi mkubwa sana
 
Reactions: Ame
[emoji7][emoji7][emoji2956][emoji2956]
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 

Wewe una madharau, eti vijigeti vinne. Si uuze tu nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…