Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

nimekutag. Usome uje utume mrejesho.

Kama hujui kipimo cha ukichaa basi ni kile .
Ukiuelewa ule uzi tu. Basi Mirembe inakuhusu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Š
πŸ˜…πŸ˜… Sawa mkuu ntaleta feedback
 
Sawa kila mtu na vipaumbele vyake
naomba uonane na ndugu yangu. Japo umsikilize tu. Ni mwanaume mchapakazi na yuko na malengo ya maisha.

Muungane msukume pamoja.
Havuti sigara wala bangi. Pombe ni kwa nadra sana. Ana biashara yake pale Kinyerez mwemben.

Ni mtu makin sana. Hebu nenda msikilize .
 
Umeusoma?
Au umevurugikiwa tayar ?.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
mmh!! kama nataka kuelewa afu selew, mwisho wakuelewa ni jamaa alipo enda kuzima fen, ila kwingine giza, ngoja nrudie tena maybe nkaelewa
 
Hao Wana pesa hawana hela
 
Kwan si ilikuwa kukutana tu.?
Au ulimkubalia hadi kumpa jagina.

By the way namba ni ya ephen_ .
Kumbe hata haukuichek. Dah umeniudhi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahyo mbususu siku hizi imebatizwa jina jipya la jagina? Halafu kuna member humu kwa jina hilo
 
Hela kipengele. Labda nikajifunze upya darasani kamusi la kutongozea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…