Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

Kama Mimi kuna bidhaa nauza naamini dada zako,mama zako na Shangazi zako wanazo.unaonaje ukaiungisha familia yako,muinuane kiuchumi
Hao uliowataja hawajajitangaza popote, ila wewe naona matangazo yako ya kimkakati humu kila siku, ndo maana nauliza unauzia wapi?

Niko serious naitaka hiyo U.T.I
 
Ataiweka tu. Marry ana maakili.
Hajaficha jina halisi. Anaanzaje kuficha CV.

aweke hapa hapa ili watesi wake wa JF waache kumdharau. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Hahaha narudia tena kukwambia Mkuu hawezi kuweka hapa, lile ni biti la aina ya watu wasiokuwa na hoja.

Intelligence doesn’t shout for attention.
 
Hahaha narudia tena kukwambia Mkuu hawezi kuweka hapa, lile ni biti la aina ya watu wasiokuwa na hoja.

Intelligence doesn’t shout for attention.
Baba ,kama kweli unajiamini tafuta location unione,kama unadhani Mimi ni kibungo kama wanawake zako , muonekano wangu ni CV tosha ,bado sijakuonesha nilikopita,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…