Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

Mbona kama andiko lenyewe tayari limekaa kimalaya malaya kabla hata ya kuchangia!!
 
DAda, screenshot hizo DM za wababa wanao kutongoza tuwakabidhi kwa Chris Mauki awape ushauri nasaha maana wana changamoto ya fya ya akili.
 
% kubwa humu utan ni kama salam ya asubuhi, na hawaachi si %hatujuan/hatuonani !
 

Binafsi SIJUI KUTONGOZA halafu NI MBAHILI wa kuhonga.
Hela ilivyongumu unahonga mwanamke pengine hata hajakuomba; Mimi siwezi kwa kweli
Pengine labda tutongozane ......kwani kila mmoja anamuhitaji mwenzake!
 
Mnaposemaga mtu anakutumia huwa mnaamaanisha nini?
Kwani wakati wa kufanya mapenzi nyie hakuna mnachofaidi?
 
Baba ,kama kweli unajiamini tafuta location unione,kama unadhani Mimi ni kibungo kama wanawake zako , muonekano wangu ni CV tosha ,bado sijakuonesha nilikopita,
Nimeelewa hapo uliposema mwonekano wako ni cv tosha.
Ssma bora uwe na tako tako asilia sio la mturuki kama wenzako wenye cv za aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…