Tafuta mtu asiyekujua mlipe pesa akutukane bila sababu ni tiba kubwa sana

Tafuta mtu asiyekujua mlipe pesa akutukane bila sababu ni tiba kubwa sana

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
976
Reaction score
1,712
Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa

Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume

Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza

Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena hasa mwambie changamoto ambazo zinakushinda kuzitatua zote na matusi yalenge secta hizo ambazo zinakushinda tena matusi yasipungue dk 40, ni matusi namaanisha mfano

Wewe mpumbavu, mpaka leo hauna mtoto wewe kweli fala, kibaya zaidi haujaoa mpaka leo zoba sana wewe Sasa kuoa ni kitu cha kumshinda mtu, zezeta wewe, kwahiyo wanawake hamna au umekosa pesa ya kulipia mahali, mijitu mingine kweli mishoga, mpaka leo kazi hauna , ulisomea nini? Malay wewe , si uende ukabebe zege huko mbona wanaume wenzako wanabeba zege , makebo matekete na mwanaume unataka kufir,,,, kama hivyo

Nenda kapate tiba hiyo Mkuu, sio kila siku unaenda Kwa washahuri wenu wa maisha na mambo hayawi sawa , nendeni mkatukanwe mpone

Nna ndoo ya zege kichwani wa kuu, see you 🌘
 
Kuna mda mambo yanakusomga eeeh!! Ngoja nikupe dawa

Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume

Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza

Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena hasa mwambie changamoto ambazo zinakushinda kuzitatua zote na matusi yalenge secta hizo ambazo zinakushinda tena matusi yasipungue dk 40, ni matusi namaanisha mfano

Wewe mpumbavu, mpaka leo hauna mtoto wewe kweli fala, kibaya zaidi haujaoa mpaka leo zoba sana wewe Sasa kuoa ni kitu cha kumshinda mtu, zezeta wewe, kwahiyo wanawake hamna au umekosa pesa ya kulipia mahali, mijitu mingine kweli mishoga, mpaka leo kazi hauna , ulisonea nini? Malay wewe , si uende ukabebe zege huko mbona wanaume wenzako wanabeba zege , makebo matekete na mwanaume unataka kufir,,,, kama hivyo

Nenda kapate tiba hiyo Mkuu, sio kila siku unaenda Kwa washahuri wenu wa maisha na mambo hayawi sawa , nendeni mkatukanwe mpone

Nna ndoo ya zege kichwani wa kuu, see you 🌘
1. Ulifanya research na Ni watu wangapi walipona kwa tiba hiyo mkuu? Na je, ikitokea hujapona itakuwaje ilhali ulisha miminiwa matusi kiasi hicho na watu walisikia/mashahidi na ww hukureact kwa mujibu wa maelekezo as if ni kweli yanakuhusu yaliyosemwa?
2. Najaribu kutafakari huo muda wa kuwatafuta watu wasiokufahamu, mnakubaliana kutimua vumbi la matusi dhidi yako na matumizi ya fedha yako ikiwa ni Malipo ya kutukanwa matusi kwa dk.40+ sipati picha.
3. Hebu tuambie (Funguka)kiukweli Lengo la uzi wako huu ni nini ili tujue vyema namna ya kuchangia bila kukukwaza.
Ni hayo tu.
 
Khe! Sidhani kama utayaweza matusi yake. Ngoja; ww muite chap halafu kwanza muelewane bei kwanza halafu ndo timbwili liendelee - umenielewa?
Ukute bei kubwa ya kazi, na anakumwagia mitusi kem kem, lazima zipigwe
 
kwa mimi mtu nisiyemjua hata akutukaneje maneno yake hayawezi kunigusa . mi kile nafanya nina mfahamu mtu ambaye tunafanya nae kazi ukitaka kupata honest views tena anaongeaga fact. hatukani sijui shenzy walaaaa. ila atakupa makavu na ukitoka hapo lazima ukajitathimini . tatizo lake hawezagi kukaa na jambo labda umsisitize kuwa hili ni kati yetu tu . usipofanya ivo mfano mkienda kula na watu wengine analopoka kila kitu tena na wewe ukiwepo ili na wengine wajiunge kukuchambua vizuri na atahakikicha hiyo ndio agenda ya kujadiliwa hata wiki nzima mpaka uanze kufanyia kazi yanayojadiliwa..
 
Duh! Huyo jamaa yako; pamoja na kuwa ni mkweli na hakopeshi ila ni mbeya mno. Mbeya ni yule anayesambaza habari za uongo au ukweli bila idhini ya wahusika.Kitendo chake hicho ni kama Uchongezi/Kutibua jamii na mara nyingi (bila yy kujua) anaweza kusababisha Taharuki ndani ya Jamii au Familia.
 
Haya haya waungwana malipo yote yafanyike CRDB msitume Nmb inasumbua..!!!

Unachagua wewe kifurushi cha kutukanwa kwa siku, wiki au mwezi..!!

Leteni michongo tuwape tiba 😹
 
Back
Top Bottom