Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa
Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume
Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza
Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena hasa mwambie changamoto ambazo zinakushinda kuzitatua zote na matusi yalenge secta hizo ambazo zinakushinda tena matusi yasipungue dk 40, ni matusi namaanisha mfano
Wewe mpumbavu, mpaka leo hauna mtoto wewe kweli fala, kibaya zaidi haujaoa mpaka leo zoba sana wewe Sasa kuoa ni kitu cha kumshinda mtu, zezeta wewe, kwahiyo wanawake hamna au umekosa pesa ya kulipia mahali, mijitu mingine kweli mishoga, mpaka leo kazi hauna , ulisomea nini? Malay wewe , si uende ukabebe zege huko mbona wanaume wenzako wanabeba zege , makebo matekete na mwanaume unataka kufir,,,, kama hivyo
Nenda kapate tiba hiyo Mkuu, sio kila siku unaenda Kwa washahuri wenu wa maisha na mambo hayawi sawa , nendeni mkatukanwe mpone
Nna ndoo ya zege kichwani wa kuu, see you 🌘