1. Ulifanya research na Ni watu wangapi walipona kwa tiba hiyo mkuu? Na je, ikitokea hujapona itakuwaje ilhali ulisha miminiwa matusi kiasi hicho na watu walisikia/mashahidi na ww hukureact kwa mujibu wa maelekezo as if ni kweli yanakuhusu yaliyosemwa?Kuna mda mambo yanakusomga eeeh!! Ngoja nikupe dawa
Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume
Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza
Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena hasa mwambie changamoto ambazo zinakushinda kuzitatua zote na matusi yalenge secta hizo ambazo zinakushinda tena matusi yasipungue dk 40, ni matusi namaanisha mfano
Wewe mpumbavu, mpaka leo hauna mtoto wewe kweli fala, kibaya zaidi haujaoa mpaka leo zoba sana wewe Sasa kuoa ni kitu cha kumshinda mtu, zezeta wewe, kwahiyo wanawake hamna au umekosa pesa ya kulipia mahali, mijitu mingine kweli mishoga, mpaka leo kazi hauna , ulisonea nini? Malay wewe , si uende ukabebe zege huko mbona wanaume wenzako wanabeba zege , makebo matekete na mwanaume unataka kufir,,,, kama hivyo
Nenda kapate tiba hiyo Mkuu, sio kila siku unaenda Kwa washahuri wenu wa maisha na mambo hayawi sawa , nendeni mkatukanwe mpone
Nna ndoo ya zege kichwani wa kuu, see you 🌘
Khe! Sidhani kama utayaweza matusi yake. Ngoja; ww muite chap halafu kwanza muelewane bei kwanza halafu ndo timbwili liendelee - umenielewa?
Usifikirie hivyo.Mmmh! Unamwonea realMamy bure tu. Kwani yy ndio mtaalam m'bobezi wa kuporomosha matusi mkuu?
Kwani ulimaanisha nini mkuu?Usifikirie hivyo.
Duh! Huyo jamaa yako; pamoja na kuwa ni mkweli na hakopeshi ila ni mbeya mno. Mbeya ni yule anayesambaza habari za uongo au ukweli bila idhini ya wahusika.Kitendo chake hicho ni kama Uchongezi/Kutibua jamii na mara nyingi (bila yy kujua) anaweza kusababisha Taharuki ndani ya Jamii au Familia.kwa mimi mtu nisiyemjua hata akutukaneje maneno yake hayawezi kunigusa . mi kile nafanya nina mfahamu mtu ambaye tunafanya nae kazi ukitaka kupata honest views tena anaongeaga fact. hatukani sijui shenzy walaaaa. ila atakupa makavu na ukitoka hapo lazima ukajitathimini . tatizo lake hawezagi kukaa na jambo labda umsisitize kuwa hili ni kati yetu tu . usipofanya ivo mfano mkienda kula na watu wengine analopoka kila kitu tena na wewe ukiwepo ili na wengine wajiunge kukuchambua vizuri na atahakikicha hiyo ndio agenda ya kujadiliwa hata wiki nzima mpaka uanze kufanyia kazi yanayojadiliwa..
Mm ntakutukana kitandani na dyudyu yangu 😎