Tafuta mtu asiyekujua mlipe pesa akutukane bila sababu ni tiba kubwa sana

Haya haya waungwana malipo yote yafanyike CRDB msitume Nmb inasumbua..!!!

Unachagua wewe kifurushi cha kutukanwa kwa siku, wiki au siku..!!

Leteni michongo tuwape tiba 😹
Nipe namba yako ya MPESA haraka sana unishushie mvua ya matusi 🫨🫨🫨
 
Ukute bei kubwa ya kazi, na anakumwagia mitusi kem kem, lazima zipigwe
Kha! Tena ? Si umempa kazi hiyo ww mwenyewe kwa hiari yako nae amewajibika ipasavyo na bonus juu? Sasa zinapigwaje kwa mfano?
 
Haya haya waungwana malipo yote yafanyike CRDB msitume Nmb inasumbua..!!!

Unachagua wewe kifurushi cha kutukanwa kwa siku, wiki au siku..!!

Leteni michongo tuwape tiba 😹
Kaa mkao wa kula. Wanakuja .
 
😁 nani nimlipe ila mimi ndio nimtukane.
 
huyu dada ni open book hata mambo yake mengine anayaweka hadharani kwa mimi ninavyojijua kama ningekuwa ndio yeye ningekufa nayo rohoni. kuhusu umbeya hapo ndo utaamua unataka kunusurika na shida uliyonayo au unaogopa wambeya. ila ni mtu akishakupa facts anajitoa sana. utashangaa tu anakuambia nimeongea na mume wangu kashauri ufanye hiki na hiki. au kama ni kitu kinachokupa stress anawaambia watu flani ana stress twendeni tumtoe dinner atawaconvice hata zawadi utanunuliwa. mi nampendaga ivo ivo tu
 
Hiyo haitakutibu kisaikolojia namana unajidanganya mwenyew kuwa nyuma ya suruali hauna tobo
 
Lakini ujue sio wote tunapendaga mambo yetu yawekwe hadharani. Atakuwa ametuongezea stress juu ya stress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…