Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Kwa hiyo unashauri watu waoe kwa ajili ya ngono tu? Unawapoteza wenzako ndoa ni zaidi ya ngono
 
Kivipi mkuu?
Wanawake ni wabinafaai Sana.Angalia wanaume walichifanyiwa kisa malkia na waziri mkuu Magreth Thatcher.Kuna mwenzetu anaishi kama ndege kisa mkewe kaona picha alizotumiana na jimama.Usisahau na ya Emmanuel Ebue
 
Haya basi tuelezane kisomi...

Mtume ﷺ aliwahi kusema, "HATOKUWA MUUMINI WA SAWA SAWA MMOJA WENU MPAKA IWE HAMU YAKE NI KUNIFUATA YALE NILIYOKUJA NAYO"

Katika aliyokuja nayo na ndoa ya mathnaa si imo? Hapo tutoke tuje kwenye aya...

Kwenye aya Allaah anasema... "BASI NA OENI MNAOWAPENDA WANAWAKE WAWILI, WATATU NA WANNE, IKIONA MTACHELEA UADILIFU MMOJA"

Baadhi ya wanawachuoni wafasiri wa Quran... KWA MTU MWENYE UWEZO NA UADILIFU ATAKUWA ANAWAJIBIKA KUOA ZAIDI YA MMOJA NA SIO SUNNA TENA... VILEVILE AMRI YA KUOA HAIJAANZA NA MMOJA IMEANZA NA WAWILI KAMA ASLI...


Vile kiprotokali... WA LILLAAHI MATHALUL A'LAA... Tutolee mfano... "RAIS AKIJA MTAANI KWAKO AKAKUPA USHAURI KWAMBA ANAONA NI BORA UKAHAMISHA NYUMBA YAKO UPISHE BARABARA", JE HUO USHAURI WA RAISI NI USHAURI AU AMRI?

SASA HUYO NI BINADAMU AMBAYE NI RAIS... KWA ALLAAH SI AULAA ZAIDI...

NJOO DARSANI NIKUFUNDISHE KUHUSU SUNNA, WAAJIB, MUSTAHABBU, MAKRUUHUN, NA HARAAM... ILI USIELEWE DINI KIPOTOFU...

Alafu acha ubishi usije ukawa na pupa ya kujibu hii comment kutaka ushindani bila elim... Ongelea dini kwa elim eeh... Sawa ndugu yangu eeh..?
 
Hijja ni Amri au sunna?
 
Kwa hiyo unashauri watu waoe kwa ajili ya ngono tu? Unawapoteza wenzako ndoa ni zaidi ya ngono
Kaoe alafu mwambie mkeo hapa hakuna ngono... Tunafanya mambo mengine ya wanandoa ila ngono hakuna.. Alafu uje kuniambia nini kimetokea...
 
Ulichoandika ni tofauti kabisa na nilichomaanisha. Soma uelewe, usikurupuke
Si umesema ndoa ni zaidi ya ngono... Hauoi kwa ajili ya ngono tu...

Na mimi nakujibu... NDOA KAZI YAKE NI KUHALALISHA NGONO... KUTOKA JINA LA ZINAA NJE YA NDOA... NA KUWA TENDO LA NDOA TAKATIFU...

KWAHIYO TUNAOANA ILI TUTENDE TENDO LA NDOA KUHALALI...
 
Uko sahihi
 
mshaanza kujidinya na madildo endeleeni mapaka ya kike tutakula shoo kwa hamu za kukojoa tu mtajioa wenyewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…