Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Huu mjengo ulianza kujengwa kipindi chake.Alikuwepo ila mlipiga vita tumuombe Mungu waje wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mjengo ulianza kujengwa kipindi chake.Alikuwepo ila mlipiga vita tumuombe Mungu waje wengine.
Chalamila bado anashangaa kama Rais anaweza kufa.Kwa Dar huu ni mtihani WA kwanza WA Mheshimiwa Mkuu WA Mkoa Chalamilla, hao polisi WA usalama waliongezwa mara kumi na Makonda, sasa ni Muda muafaka kuwapunguza Kwa kupangiwa Majukumu mengine, ila Rushwa ya Hawa Ndugu inatisha
Mwenye ile Video ya Makonda atuwekee hapa kuhusu polisi
Ukiwa mkweli hivi utaambiwa una wivu mara watz hatupendani na vijimisemo vingine vya hovyo....Ulishawahi kuona mtoto wa bilionea anaajiriwa hovyo hovyo ?.
Ukiuliza huyo Bon anafanya biashara gani na analipa kodi iasi gani utabaki kushangaa na kusikitika.
Leo hii hakuna trafic asiyekuwa na usafiri wa uhakika,nyumba nzuri kwasababu ya rushwa za barabarani,jiulize kwanini askari anyelinda bank hana hata baskeli !.
Nchi yetu inahitaji viongozi watakao kuwa tayari kupambana na mifumo ya rushwa.
... mwenye roho mbaya angejali usalama wa watu, ndani na nje, ya jengo hilo?Kuna watu wana roho za kimaskini jamani duuh hivi mtu unakuwaje na roho mbaya? mbona mimi siwezi kuumizwa na maendeleo ya mtu!
Kweli binadamu tunatofautiana!
Tafuta hela Mkuu ujenge na wewe lako.
Last week niliondoka Dar kupitia Bagamoyo kwenda Arusha na baadae Namanga.Ukiwa mkweli hivi utaambiwa una wivu mara watz hatupendani na vijimisemo vingine vya hovyo....
Ila kweli ni lazima uzungumzwe kuliokoa hili taifa.
Sio lazima kuweka unaweza kuwa na kibali ila bango usiliandike na ukaendelea na kazi kama kawaidaTaratibu za ujenzi wa ghorofa ni tofauti na ujenzi wa nyumba za kawaida. Kiashiria kimojawapo cha mtu anaejenga ghorofa kihalali ni uwepo wa lile bango la project. Yale mabango sijui yanaitwaje, ila pale utakuta jina na mmiliki, archtect, consultant, engineer etc... na project nzima hadi inakamilika inakuwa chini ya usimamizi wa hao watu. Ikitokea limeanguka, wataulizwa wao sio mmiliki. huwezi kuamka tuu na fundi wako unaemwamini mkaanza kujenga ghorofa. Mpaka mleta maada analeta dokezo hili inamaana kuna mapungufu kayaona.
Kuhusu alama nyekundu labda wenye mamlaka hawajaliona ama wanapozwa na afisaa wa TRA. Kwani likija kuangua wao watakuwepo? Au watu wakifa wao wanawahusu nini? Hii nchi ni zaidi ya uijuavyo[emoji846]
Tanzania ndio mnaukuza udaktari kwamba wenye akili ndio wanasoma udaktari.Huyo jamaa sijui anabwabwaja nini, udaktari haukimbiliwi hakuna kilaza anapeleka pua kule hata awe mtoto wa tajiri namna gani.
Wewe huna uzoefu katika ujenzi,unafikiri hizo Ghorofa unazoziona zimesimama wanaojenga Tofari ni mainjinia!Oyaa mbona jengo limesimama vyema tu? Nauhakika mafundi wa mtaani hawana uwezo wa kunyoosha ukuta hivyo. Hapa kuna tatizo na walalamikaji.
Kwamba Marekani ukisoma HGL unaweza kuwa daktari?Tanzania ndio mnaukuza udaktari kwamba wenye akili ndio wanasoma udaktari.
Nenda us,uk, Sweden hiyo ni kozi ya kawaida tu kama kozi nyingine,mfano mtu yoyote US akitaka kusoma udaktari anasoma vzr tu na anamaliza.
Uku kwetu Tanzania kwenye elimu ya kukomoana na hao prof uchwara ndio wanasababisha hiyo kozi iwe ngumu.
Usisifie sana udaktari kwamba ni kozi ngumu
Wangapi wanafanyakazi tofauti na professional yao waliosomea?Kwamba Marekani ukisoma HGL unaweza kuwa daktari?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujajibu swalii.Wangapi wanafanyakazi tofauti na professional yao waliosomea?
Wangapi wanafanyakazi tofauti na professional yao waliosomea?
Swali gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujajibu swalii.
Kwan mwenzio kakuuliza nn??Swali gani?
Kama umeishi US ndio huyo aliyesoma HGL akiamua anaweza kuwa Daktari.Jibu swali kwanza.