TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

Pole sana, ila usiwe unamuamini mtu kirahisi hivyo. Kusaidiana kupo ila sio kwa huo uteja wa siku mbili.
 
Nimekumbuka uzi wa somebody MCHUMI... aliwasilisha mada kama hii akidai katapeliwa na akamtaja mtuhumiwa lakini mtuhumiwa alipojitokeza ikaonekana mlalamikaji ndo tapeli na walikuwa wamefikia mpaka hatua ya kupanga waonane ili wagegedane.

So hapa napo yawezekana kabisa panamuelekeo huo huo ndo maana hataki tuusikie upande wa pili.

Hivi mtu akutapeli 120K halafu ugome kutaja hata id achilia mbali kuweka namba ya mhusika? Kweli?

Na kama 120k siyo kitu then kulikuwa na ulazima gani kutuletea huku mambo ya Pm? Si ungevunga kama umeidondosha tu but since last year umemkomalia maanake ni kubwa kwako.

Kiuhalisia naona jamaa hajakutapeli bali kaenda kinyume na makubaliano yenu.

Mkuu wewe mtaje tu ikibidi na namba uweke,mbona kitomai alipoanikwa alipotea mazima na IDs zake zote zikabainika na zile mpya alizofungua zilikuwa zinabainika kirahisi tu.

Pasi kumtaja jamaa moja kwa moja hii siyo tahadhali bali ume-share nasi experience yako katika kutumia JF.

NI MTAZAMO TU.
 
...teh teh teh...hapa kuna zaidi ya tunayoambiwa!
...umletee mdaiwa mipasho ya khanga wakati njia rahisi ilikuwa kumpelekea kipira tu kwake?!!
...hujaja kututahadharisha wewe hapa!
Kwa maelezo yako inaonekana hamkuishia kwenye biashara tu,mlienda mile tano mbele kwenye uhusiano kwanza maana hata kama iweje huwezi kumpa pesa yote hiyo mtu mliejuana mda mfupi tu. Alafu ukizingatia wafanya biashara walivyo wabahili na ndio maana hutaki kutaja Id take.
Ni bwana yake haiwezekani mtu isiyemjua ukampa pesa kirahisi namna hiyo,hivi unajua wafanya biashara walivyo wabahili ukipungukiwa mia tu hakuuzii kitu itakuwa laki mbili.
lazima alikutongoza Na ulimkubalia!
Binafsi nilihisi uenda kuna mahusiano mengine zaidi ya hiyo biashara
Lazima kuna kitu ,nikajua kama mtu ajapitiwa sijui ,si unajua wazee wa harakati
Hapo kuna zaidi ya biashara
Sure..Hilo swala la kumuamini mtu fasta hivyo mpaka unamtumia pesa mi sijalielewa

Apologise lady naomba kuuliza..Huyu jamaa hamkuwa na mahusiano naye zaidi ya biashara?
Nimekumbuka uzi wa somebody MCHUMI... aliwasilisha mada kama hii akidai katapeliwa na akamtaja mtuhumiwa lakini mtuhumiwa alipojitokeza ikaonekana mlalamikaji ndo tapeli na walikuwa wamefikia mpaka hatua ya kupanga waonane ili wagegedane.

So hapa napo yawezekana kabisa panamuelekeo huo huo ndo maana hataki tuusikie upande wa pili.

Hivi mtu akutapeli 120K halafu ugome kutaja hata id achilia mbali kuweka namba ya mhusika? Kweli?

Mkuu wewe mtaje tu ikibidi na namba uweke,mbona kitomai alipoanikwa alipotea mazima na IDs zake zote zikabainika na zile mpya alizofungua zilikuwa zinabainika kirahisi tu.

BTW:Kama ni kweli,basi pole sana kila mtu ana nafasi ya kukuumiza once(though wewe umepigwa kizembe mno) na kama utaumizwa tena hivi hivi hata kama na mtu mwingine then utakuwa na tatizo somewhere.

NI MTAZAMO TU.
Hivi 120000 ni hela nyingi kiasi cha kushindwa kumsaidia mtu hadi muwe na mahusiano.

Nina mteja zanzibar namtumia mzigo hadi wa 500000 kila wiki, asimjui hanijui tulikutana facebook, hajawah kunidhulumu hata siku siku moja, kuna wakati hata yeye anaweza weka oda mzigo ambao sina mkononi na akaamua ku2ma pesa yake nikaana nayo hata wki 3, na maisha yanaenda kiasi kwamba amekuwa ni zaidi ya mteja kwangu.

Msichojua suala la biashara sio uadui, mteja anaweza kukwama au hata mtoa huduma anaweza kukwama ila ni suala la uaminifu wa kauli tu.

Jifunzeni kwa waliofanikiwa wataelekeza biashara zinafanyikaje.
 
Tuondolee shaka,mtaje huyo tapeli.
 
wew unapata shaka unabiashara humu?? Wenye biashara wamemute kwa kua wanajua, kama unabiashara hujamjua basi jiongeze.
[QUOTE="Ap.ologise lady, post: 15215973,

Mimi na biashara humu mkuu....tuwekee ID hapa tumjue otherwise kuna issue utaki kuwa mkweli....
 
Mtoa uzi umeongea kitu cha maana sana lakn umekuwa mwoga kupitiliza.

Kinachaofanya niseme wewe mwoga,
1. Unaogopa kumtaja.
2. Umeogopa kufika kituo cha polisi wakat kweli unamdai na sms za ushahidi unazo (Rejea Uzi Wako)

Moja kati ya njia za kupinga uhalifu ni kumweka muhusika hadharani ili wengine tumjue na pia ipatikane nafasi ya yeye kuwajibishwa kama wahalifu wengine.

Lakn pia mtoa uzi hujiamini ndio maana hata ukampa huyo jamaa pesa wakat hata hamjuani vizuri. Mbaya zaidi umempa pesa ambayo umeipata kiugumu lakn pia ambayo imeathiri kiasi fulan ktk mzunguko wako wa biashara ndio maana unalalamika.

JAMBO LA MSINGI.
1. Inawezekanaje ujuane na mtu kwa mwezi mmoja tu kisha umpe kiasi kikubwa cha pesa wakat una Ndugu, Jamaa na Marafiki ambao wanahitaji msaada wako na hawaupati.

2. Inawezekanaje mtu mweny zaid ya umri wa miaka 35 akose rafik wa kumpa 120,000/= mpaka kufikia kukuomba wew wakat hata hamjuani vyema? Hukujiuliza yote haya kaka?

Mimi nadhani Mungu kakupiga kibao ujifunze ndugu yangu maana ulidanganyika kwa kias kikubwa sana kuweka dhamana kwny jani la mti kwa mkataba kwmb halitodondoka.

Umefanya jambo jema kutueleza lakn usije kumwambia hata mpenz wako maana atakudharau sana kwa kuwa mzembe wa mwili na akili kias cha kupoteza pesa nyingi ambazo mngefanya mambo ya msingi.

Samahan kama nitakuwa nimekukwaza kwa maneno yangu, lakn napenda ujifunze na wengine nia wajifunze kwako.

Next time ndugu zangu, akitokea mtu unayemfahamu ama unamjua kias kisha akakuomba pesa, mpe kias ambacho hakitokufanya ujute zaid ya yeye mwenyewe kujishushia heshima yake.

Kama ndani una laki1 basi mpe elfu10, hata asipoilipa haina shida na wala haikuumi.

Pole ndugu kwa maumivu.
 
NIMEFUNGA MJADALA, MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.

LABDA KAMA TAFSIRI YA NENO "TAHADHALI" NI NGUMU KWA WENGINE AU WANALISIKIA NENO ILA HAWAJUI MAANA YAKE.
 
Nimekupm...naomba unikopeshe 50000, ntakuungisha maziwa yako mkuu..
inawezekana ulimpa uroda, mbona humtaji?
kuna zaidi ya biashara me nimemstukia...inawezekana jamaa kamega kisela then kasepa na chambi juu...si unajua wazee wa mji demu akishoboka wanashoboaaa
Inawezekana pia kwa mawazo yako. But uaminifu ni jambo la msingi ikiwa mtu alikusaidia kwa shida zako.
 
Back
Top Bottom