Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...teh teh teh...hapa kuna zaidi ya tunayoambiwa!
...umletee mdaiwa mipasho ya khanga wakati njia rahisi ilikuwa kumpelekea kipira tu kwake?!!
...hujaja kututahadharisha wewe hapa!
Kwa maelezo yako inaonekana hamkuishia kwenye biashara tu,mlienda mile tano mbele kwenye uhusiano kwanza maana hata kama iweje huwezi kumpa pesa yote hiyo mtu mliejuana mda mfupi tu. Alafu ukizingatia wafanya biashara walivyo wabahili na ndio maana hutaki kutaja Id take.
Ni bwana yake haiwezekani mtu isiyemjua ukampa pesa kirahisi namna hiyo,hivi unajua wafanya biashara walivyo wabahili ukipungukiwa mia tu hakuuzii kitu itakuwa laki mbili.
lazima alikutongoza Na ulimkubalia!
Binafsi nilihisi uenda kuna mahusiano mengine zaidi ya hiyo biashara
Lazima kuna kitu ,nikajua kama mtu ajapitiwa sijui ,si unajua wazee wa harakati
Hapo kuna zaidi ya biashara
Sure..Hilo swala la kumuamini mtu fasta hivyo mpaka unamtumia pesa mi sijalielewa
Apologise lady naomba kuuliza..Huyu jamaa hamkuwa na mahusiano naye zaidi ya biashara?
Hivi 120000 ni hela nyingi kiasi cha kushindwa kumsaidia mtu hadi muwe na mahusiano.Nimekumbuka uzi wa somebody MCHUMI... aliwasilisha mada kama hii akidai katapeliwa na akamtaja mtuhumiwa lakini mtuhumiwa alipojitokeza ikaonekana mlalamikaji ndo tapeli na walikuwa wamefikia mpaka hatua ya kupanga waonane ili wagegedane.
So hapa napo yawezekana kabisa panamuelekeo huo huo ndo maana hataki tuusikie upande wa pili.
Hivi mtu akutapeli 120K halafu ugome kutaja hata id achilia mbali kuweka namba ya mhusika? Kweli?
Mkuu wewe mtaje tu ikibidi na namba uweke,mbona kitomai alipoanikwa alipotea mazima na IDs zake zote zikabainika na zile mpya alizofungua zilikuwa zinabainika kirahisi tu.
BTW:Kama ni kweli,basi pole sana kila mtu ana nafasi ya kukuumiza once(though wewe umepigwa kizembe mno) na kama utaumizwa tena hivi hivi hata kama na mtu mwingine then utakuwa na tatizo somewhere.
NI MTAZAMO TU.
Tuondolee shaka,mtaje huyo tapeli.Hivi 120000 ni hela nyingi kiasi cha kushindwa kumsaidia mtu hadi muwe na mahusiano.
Nina mteja zanzibar namtumia mzigo hadi wa 500000 kila wiki, asimjui hanijui tulikutana facebook, hajawah kunidhulumu hata siku siku moja, kuna wakati hata yeye anaweza weka oda mzigo ambao sina mkononi na akaamua ku2ma pesa yake nikaana nayo hata wki 3, na maisha yanaenda kiasi kwamba amekuwa ni zaidi ya mteja kwangu.
Msichojua suala la biashara sio uadui, mteja anaweza kukwama au hata mtoa huduma anaweza kukwama ila ni suala la uaminifu wa kauli tu.
Jifunzeni kwa waliofanikiwa wataelekeza biashara zinafanyikaje.
wew unapata shaka unabiashara humu?? Wenye biashara wamemute kwa kua wanajua, kama unabiashara hujamjua basi jiongeze.Tuondolee shaka,mtaje huyo tapeli.
wew unapata shaka unabiashara humu?? Wenye biashara wamemute kwa kua wanajua, kama unabiashara hujamjua basi jiongeze.
Voted as Best Comment of Today!!Kama unashindwa kumtaja tukamfahamu. Unamaana gani kututahadharisha kwa mtu ambae hatumjui??!
[QUOTE="Ap.ologise lady, post: 15215973,wew unapata shaka unabiashara humu?? Wenye biashara wamemute kwa kua wanajua, kama unabiashara hujamjua basi jiongeze.
Nimekupm...naomba unikopeshe 50000, ntakuungisha maziwa yako mkuu..NIMEFUNGA MJADALA, MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.
LABDA KAMA TAFSIRI YA NENO "TAHADHALI" NI NGUMU KWA WENGINE AU WANALISIKIA NENO ILA HAWAJUI MAANA YAKE.
Hahahahaha!!!! Kama mdau wa hli jukwaa we unga dot utamjua tu.
kuna zaidi ya biashara me nimemstukia...inawezekana jamaa kamega kisela then kasepa na chambi juu...si unajua wazee wa mji demu akishoboka wanashoboaaainawezekana ulimpa uroda, mbona humtaji?
NIMEFUNGA MJADALA, MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.
LABDA KAMA TAFSIRI YA NENO "TAHADHALI" NI NGUMU KWA WENGINE AU WANALISIKIA NENO ILA HAWAJUI MAANA YAKE.
Nimekupm...naomba unikopeshe 50000, ntakuungisha maziwa yako mkuu..
inawezekana ulimpa uroda, mbona humtaji?
Inawezekana pia kwa mawazo yako. But uaminifu ni jambo la msingi ikiwa mtu alikusaidia kwa shida zako.kuna zaidi ya biashara me nimemstukia...inawezekana jamaa kamega kisela then kasepa na chambi juu...si unajua wazee wa mji demu akishoboka wanashoboaaa