Tahadhari na ushauri kwa system: Msimwonee haya mtu, akishindwa achaneni naye na akishinda atangazwe

Kwa vigezo gani huyo unayemshabikia atakuwa Rais wa Tanzania?

Mtu jeuri asiye na heshima

Mamluki

Mbinafsi

Mropokaji

Mwenye majivuno ya kishamba

Labda Rais wa wafuasi wake humu JV na mitandao ya kijamii

Your browser is not able to display this video.
 
Watu walikuwa wanapiga nyomi na wakatoka kapa toka kitambo.
Your browser is not able to display this video.
 
Wameshagundua hawezi kushinda Mkuu ndiyo sababu wameanza figisu figisu za kurusha mawe, kutumia Tume FAKE kuzuia kampeni na polisiccm kufyatua risasi za moto na mabomu ya machozi.
 
Eti Maccm hayataki TunduALissu alale Chato, yaani ni hivi mtake msitake leo TL atalala chato, nyie si mnajikuta watalaam wa kutoa roho za watu basi jaribuni leo muone, nyambafuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamlea hana madhara huyo,wakiamua kumpa akitafutacho anapewa tena mapema mno. Mbona leo tumepata gawio na hamsemi. Malofa nyie.
 
Kama hawapendi kufokewa Kama watoto wadogo

Kuwepewa demotion zisizo na kichwa Wala miguu .

Kutukankwa shangazi zao au kudhalilishwa kwennye TV .

Kuwa Sadia ndugu zao wanaopigiaka mtaani kwa kukosa ajira na kipato cha uhakika

Wanapaswa kufanya maamuzi magumu sana juu ya hii nchi .

Weneztu mfano marekani huwa Wanaapa mbelenya bendera wakipiga salute na kusema "wataiteea nchi dhidi ya maadui wa nje na wa ndani hata Kama hi sitting president"

Hapa kwetu sijui Kama ipo hii

Mi naona wanajiende endea u ili mradi kuna posho[emoji44]
 
Wanamlea hana madhara huyo,wakiamua kumpa akitafutacho anapewa tena mapema mno. Mbona leo tumepata gawio na hamsemi. Malofa nyie.
Hehee hawana uwezo huo. Gawio katangaze nyumbani kwenu mbona unalazimisha kiki??
 
Hehee hawana uwezo huo. Gawio katangaze nyumbani kwenu mbona unalazimisha kiki??
Mbona alisema ataendelea na kampeni hata baada ya kufungiwa then akajilazimisha kupanda mwendokasi alihofia nn.
 
Moto wa Mlima Kilimanjaro unavyozimwa KIMASIKINI huwezi kuamini ndio TANAPA hii inayotoa 'GAWIO' kubwa serikalini huku ikishangiliwa na machoko wa Mataga,


Uvccm wanachokiweza kwa sasa ni kupiga mawe misafara ya Tundu Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…