Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mtizamo wako na wala sio mtizamo wa wengi.
Unaongea utoto gani we dogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtizamo wako na wala sio mtizamo wa wengi.
Kwa vigezo gani huyo unayemshabikia atakuwa Rais wa Tanzania?Heshima kwenu wakuu" system"
Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia na kuona kuliko mtu yeyote.
Mwaka 2015 mlitusaidia kuondokana na Lowasa japo alionekana kuwa na wafuasi wengi lakini mlifanya maamuzi muhimu. Hata hivyo chaguo lililofata nalo limeshindwa kutufikisha Watanzania kwenye lengo.
Ninyi" system" baadhi yenu mmeona wazi wazi Kiongozi mwenye mapenzi mema na chaguo la wananchi kwa sasa.
Tunaomba muendelee kulinda heshima ya nchi yetu.
Akishindwa hakuna haja ya kumbeba mbeleko maana alibebwa na amameshindwa kujibeba na habebeki hata akipewa nafasi nyingine tena. Na akishinda basi tunaomba atangazwe ili sisi watanzania tuendelee na Rais tunayemtaka.
Asanteni na kazi njema.
Keep your eyes open!View attachment 1598315
Dogo,usikute naweza kuwa hata babu yako.mmeshiba huko mnatapika tapika hapa.Unaongea utoto gani we dogo?
Nakwambia tutaishi kama mashetani na jini makata juu,wale wa mlo mmoja kwa siku watakunywa maju tuKama system ikikosea tena tumekwisha mazee
Kaa utulie unywe mtori nyama utazikuta chiniKwa vigezo gani huyo unayemshabikia atakuwa Rais wa Tanzania?
Mtu jeuri asiye na heshima
Mamluki
Mbinafsi
Mropokaji
Mwenye majivuno ya kishamba
Labda Rais wa wafuasi wake humu JV na mitandao ya kijamii
View attachment 1599110
Heshima kwenu wakuu" system"
Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia na kuona kuliko mtu yeyote.
Mwaka 2015 mlitusaidia kuondokana na Lowasa japo alionekana kuwa na wafuasi wengi lakini mlifanya maamuzi muhimu. Hata hivyo chaguo lililofata nalo limeshindwa kutufikisha Watanzania kwenye lengo.
Ninyi" system" baadhi yenu mmeona wazi wazi Kiongozi mwenye mapenzi mema na chaguo la wananchi kwa sasa.
Tunaomba muendelee kulinda heshima ya nchi yetu.
Akishindwa hakuna haja ya kumbeba mbeleko maana alibebwa na amameshindwa kujibeba na habebeki hata akipewa nafasi nyingine tena. Na akishinda basi tunaomba atangazwe ili sisi watanzania tuendelee na Rais tunayemtaka.
Asanteni na kazi njema.
Keep your eyes open!View attachment 1598315
Eti Maccm hayataki TunduALissu alale Chato, yaani ni hivi mtake msitake leo TL atalala chato, nyie si mnajikuta watalaam wa kutoa roho za watu basi jaribuni leo muone, nyambafuuuDogo,usikute naweza kuwa hata babu yako.mmeshiba huko mnatapika tapika hapa.
Wanamlea hana madhara huyo,wakiamua kumpa akitafutacho anapewa tena mapema mno. Mbona leo tumepata gawio na hamsemi. Malofa nyie.Eti Maccm hayataki TunduALissu alale Chato, yaani ni hivi mtake msitake leo TL atalala chato, nyie si mnajikuta watalaam wa kutoa roho za watu basi jaribuni leo muone, nyambafuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watashindwa tu. Hivi hawajifunzi?? Lissu analindwa na Mungu.Eti Maccm hayataki TunduALissu alale Chato, yaani ni hivi mtake msitake leo TL atalala chato, nyie si mnajikuta watalaam wa kutoa roho za watu basi jaribuni leo muone, nyambafuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehee hawana uwezo huo. Gawio katangaze nyumbani kwenu mbona unalazimisha kiki??Wanamlea hana madhara huyo,wakiamua kumpa akitafutacho anapewa tena mapema mno. Mbona leo tumepata gawio na hamsemi. Malofa nyie.
Wanamlea hana madhara huyo,wakiamua kumpa akitafutacho anapewa tena mapema mno. Mbona leo tumepata gawio na hamsemi. Malofa nyie.
Mbona alisema ataendelea na kampeni hata baada ya kufungiwa then akajilazimisha kupanda mwendokasi alihofia nn.Hehee hawana uwezo huo. Gawio katangaze nyumbani kwenu mbona unalazimisha kiki??
Kweli aisee 😂 😂Hao king makers ndio wametufanya tuishi kama mashetani kwa miaka mingi kwa kuiweka ccm madarakani?????wamefeli sana aiseh!!
Lofa babakooo, msengge weweWanamlea hana madhara huyo,wakiamua kumpa akitafutacho anapewa tena mapema mno. Mbona leo tumepata gawio na hamsemi. Malofa nyie.
Bora hata ungekuwa unanifahamu tusi lingeuma[emoji38][emoji38] hapo ni kama umejipiga dole na kujinusa tu umbwaa wewe[emoji867][emoji867]
Sihitaji kufahamiana na malaya.Bora hata ungekuwa unanifahamu tusi lingeuma[emoji38][emoji38] hapo ni kama umejipiga dole na kujinusa tu umbwaa wewe[emoji867][emoji867]
Utaumwa presha umbwa wewe,magufuli anashinda tena kazi kwako.