Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #61
Mshindani wake hakuwahi kuwaza kuja kushindana naye, ilipotokea hili la kushindana naye, na kwa kuwa kwa kuwa kuna hilo zinaendelea, mshindani anaombea bora yaishe tu.
Nipatie ufafanuzi nahitaji kupata maarifa mapya kutoka Kwa Mtibeli au kuhani au joka jeusi Baba KimossoHiyo ni topic inayojitosheleza
Lissu hawezi kushinda hata kura zipigwe live uwanja wa Taifa.
Mbona Iko wazi?
Inawezekanaje mtu mwenye maoni kuwa ushoga sio tatizo awe kiongozi wa Taifa? Na ni kama hamwamini Mungu.
Sikiliza Robert, unachanganya vitu vingi Muku, Kinga, Tego, nknk.
Muku haihusiki na unachoongelea.
Na kama ingekuwa ni MUKU kweli basi hakuna Risasi hata Moja ingemuingia.
Kila unachoona kikitokea kama mtu ni mganga kweli anaweza tegua.
Kitu pekee huwezi kuzuia ama kutegua ni kile kimetoka Direct Kwa MUNGU MUUMBAJI.
Kwakuwa nina akili timamu, sitaongelea chochote kuhusu hii mada.Wana bodi!
Mimi kama Kuhani Katika Hekalu Jeusi ambaye ninaufahamu wa mambo mbalimbali ya Kiroho. Nimeona niwajulishe hili.
Kwenye huu Ulimwengu kuna watu walichorwa Alama na miungu ambayo alama hiyo kwao ni ulinzi. Ukiwagusa unapasuka wewe.
Kwenye Biblia mtu pekee aliyeripotiwa kuwekewa Alama na Mungu ni Kaini ambaye aliwekewa Alama kwenye paji la Uso wake. Ili watu wanaotaka kumuua wakiiona wasimuue. Na yeyote atakayethubutu kumuua basi Mungu atampasua na kumuangamiza.
Alama za namna hiyo huitwa MUKU.
Kwenye Ngumi mtu aliyechanjiwa MUKU akikutwanga Ngumi Moja kwenye ule Mkono wake wenye chale(Alama za miungu) unaweza kuzima au kukata Moto.
Au kuna wale Mwalimu ukimchapa mwanafunzi mwenye MUKU Mwalimu unavimba Mikono au unaumwa Mkono.
Haya mambo wengi hawayajui kwa sababu sio Elimu maarufu
Lissu anaweza kuingia kwenye kundi hilo la watu Wachache wenye MUKU.
Ukimdhulumu uwe umejipanga haswahaswa maana Hapana Shaka miungu iliyompa hiyo MUKU utacheza nayo vilivyo.
Kwa professional Killer, lazima anapotumwa Kuua mtu lazima awe na CV ya mtu anayeenda Kumuua. Na kama atagundua mtu huyo anaalama za miungu, MUKU ambayo inamlinda Basi professional Killer huweza kumshauri aliyemtuma Njia nyingine mbadala mbali na kumuua huyo mtu.
Pia kuna watu ambao Miili yao wameilaani na kuisomea Dua kuwa yeyote atakayeudhuru mwili wake kwa kuuua Basi Laana na majanga atakayoyataja yampate huyo Muuaji.
Miili hiyo inajina lake na ibada zake hufanywa na mtu mwenyewe mbele za mizimu, makuhani wa Nguvu za Giza, waganga au Majini.
Sisi bado ni watazamaji
Nimemkumbuka jiwe
Ninachoona kwa huyu banamdogo ni kuwekwa kwenye majengo ya serikali, labda aweke speed governor kwenye ulimi
Kwakuwa nina akili timamu, sitaongelea chochote kuhusu hii mada.
When amedai ushoga sio shida? Mbona si yake katika sera ambazo amekuwa akitangaza?
Lissu hakudai tu kuwa ushoga sio shida, Bali alisema atazibadilisha Sheria zinazokataza ushoga.When amedai ushoga sio shida? Mbona si yake katika sera ambazo amekuwa akitangaza?
Mnatoa toa vitisho visivyo na kichwa wala miguu,Hakuna lolote litakalotokea na Maisha yataenda kama kawaidaKwenye huu uchaguzi Lisu anatakiwa kushindwa kwa HAKI tuu.
Vinginevyo mtakuja kuniambia mwaka huuhuu kabla haujaisha
Mnatoa toa vitisho visivyo na kichwa wala miguu,Hakuna lolote litakalotokea na Maisha yataenda kama kawaida
Hio miungu yenu ya kikuda haina nafasi Dunia ya sasa
Mwaka hauwi mbaya kwa maneno ya binadamu mitandaoniππ
Karibuni muone mwaka 2025 utakavyokuwa Mbaya kwenu
Mbowe anamshinda Lissu kwa 70% asubuhi na mapema bila hila wala kuvhakachua. Mtaji wa Mbowe uko kwa wapiga kura wakati Lissu mtaji wake ni mashabiki wa kwenye mtandaoWana bodi!
Mimi kama Kuhani Katika Hekalu Jeusi ambaye ninaufahamu wa mambo mbalimbali ya Kiroho. Nimeona niwajulishe hili.
Kwenye huu Ulimwengu kuna watu walichorwa Alama na miungu ambayo alama hiyo kwao ni ulinzi. Ukiwagusa unapasuka wewe.
Kwenye Biblia mtu pekee aliyeripotiwa kuwekewa Alama na Mungu ni Kaini ambaye aliwekewa Alama kwenye paji la Uso wake. Ili watu wanaotaka kumuua wakiiona wasimuue. Na yeyote atakayethubutu kumuua basi Mungu atampasua na kumuangamiza.
Alama za namna hiyo huitwa MUKU.
Kwenye Ngumi mtu aliyechanjiwa MUKU akikutwanga Ngumi Moja kwenye ule Mkono wake wenye chale(Alama za miungu) unaweza kuzima au kukata Moto.
Au kuna wale Mwalimu ukimchapa mwanafunzi mwenye MUKU Mwalimu unavimba Mikono au unaumwa Mkono.
Haya mambo wengi hawayajui kwa sababu sio Elimu maarufu
Lissu anaweza kuingia kwenye kundi hilo la watu Wachache wenye MUKU.
Ukimdhulumu uwe umejipanga haswahaswa maana Hapana Shaka miungu iliyompa hiyo MUKU utacheza nayo vilivyo.
Kwa professional Killer, lazima anapotumwa Kuua mtu lazima awe na CV ya mtu anayeenda Kumuua. Na kama atagundua mtu huyo anaalama za miungu, MUKU ambayo inamlinda Basi professional Killer huweza kumshauri aliyemtuma Njia nyingine mbadala mbali na kumuua huyo mtu.
Pia kuna watu ambao Miili yao wameilaani na kuisomea Dua kuwa yeyote atakayeudhuru mwili wake kwa kuuua Basi Laana na majanga atakayoyataja yampate huyo Muuaji.
Miili hiyo inajina lake na ibada zake hufanywa na mtu mwenyewe mbele za mizimu, makuhani wa Nguvu za Giza, waganga au Majini.
Sisi bado ni watazamaji
unamaanisha DAB?!Lakini Makonda na wawindaji wake 16 zote jamaa anadunda tuπΆπ»πΆπ»πΆπ»