Taharuki , kuna mpango wa kumuua baba yangu unasukwa.

Kuna mengi huyajui juu ya failia yenu..
Mzee wako nae kakuficha miaka yote hii..

Ushakuwa Sasa , tafuta Majibu.
 
Wananyima chakula
Hawataki alale ndani wanataka akalale guest house just imagine MTU Ana age 60s unamwambia alale guest ikiwa Ana nyumba yake

Anatukanwa Kama mtoto

Watu weusi hawafai don't trust and don't be closed with Swahili families
Bora wewe umeshtukia. Inakuwaga mbaya sana watoto wote mnaingizwa kwenye mfumo wa kumchukia mzee bila sababu. Wakati ujana wake wote kapoteza kuwashughurikia familia mwanzo mwisho

Hata wewe nakushauri ktk huo ujana wako jitahidi kujenga nyumba nyingine aijue ndugu unaemwamini tu. Hiyo ni back up kwenye uzee wako utakuwa unakula pesa ya kodi hapo
 
Usiposhtuka mapema utakuta mmna mchukia baba mpaka kaburini
 
Unapigana kimwili ndio shida inaanzia hapo, linapokuja vita ya kifamilia baina ya ndugu , wanaweza hata kukuloga ufe

Mchukue mzee, the zama kwenye imani sana, maana hawatoishia hapo, they will come for you too
 
Mama ndo anatengeneza hii

Nilikuwa namuanini sana Ila nimejua yeye anatumika kuua famila

She is hating my father

Unfortunately Mimi ndugu zangu ni hawajitambui hata kidogo.
Kwani baba asimtimue mama yenu?
 
Kwa usalama wako na babaako ungetakiwa kuuleta uzi huu baada ya babaako kufika dsm
 
Kuna mbibi niliwahi ona anamnyima chakula (mlo mmoja hapewi) mzee wa miaka 94, kisa tu ilikuwa Mzee hataki kuishi mbali na asili yake alikozaliwa sasa mkewe anataka akazurule kwa wanae huko mbali
 
Iyo ni Jinai report sehemu husika
 
Wote mnakoment lakini sijaona alie uliza hata sababu ni ipi hasa.
Mleta mada amekuja na ameandika kwa jaza, tena amehitimisha tu kwakusema amemtumia mzee wake ticket ili asiuwawe.
nafikiri alitaka kuwaonyesha watanzania kua kamkatia mzazi wake tiketi ya usafirii wa anga pia yeye ni lastborn hivyo nao wanaweza
 
Tajiriii mzee akitua tu na ndege hapo airport hakikisha unapeleka msafara wa range nyeusi km 20 hivi full tinted maana najua ndgu zako huku mjini pia wapo
 

Na wanaoratibu huu mpango ni ndugimu zangu wa damu na mama mzazi.🥺🥺🥺
 
Kama ushahidi unao , nenda katoe taarifa kituo cha polisi.
 
Hapo utakuta mama ameshawajaza maneno,hawa,wazazi sometime ni shida.
 
Mkuu imezingua familia yako unaconclude mablack wote wako cursed?

Sisi wengine familia zetu tuko vizuri. Kaeni chini mmalize mgogoro wenu kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…