blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Kuna mengi huyajui juu ya failia yenu..Mimi mzee alinichukua kutoka nyumbani nikawa nakaa nae so nimesoma nimemaliza nikaanza Kazi na biashara na yeye akastaafu then akawa anaishi kwangu
In short mzee wetu ni MTU ambaye hajawahi kuwa na tatizo na MTU iwe kazini kwake au ktk familia.
Chanzo cha mgogoro hawataki hakae nyumbani
Nyumbani kuna nyumba mbili ndani ya uzio moja anakaa mama na nyingine mzee
Anapokaa mama anakaa na wajukuu watoto wa kaka angu Ila kinachotokea ni kutaka kumuua mzee
Je wanatumia njia gani kumuua ?
Kumnyima chakula
Kumgombeza Kama mtoto
Kumwambia maeneno ya ajabu
Kumpa vitisho
MTU mwenye age ya 68 yrs
Ukimpa vitisho lazima atapata depression
Ukimnyima chakula lazima atapata stomach ulcers na kuua Afya yake ya mwili
Kelele kila siku zitapunguza life span yake.
Ni hayo tu.
Mzee wako nae kakuficha miaka yote hii..
Ushakuwa Sasa , tafuta Majibu.