Taifa la washangilia Misiba na Visasi

mawaziri wakubwa na viongozi wa nchi wameanzisha iyo kitu,mara wazuri awafi,mara Mungu kaamua ugomvi.

tusipangiane kila mtu ashike upande wake wa kushangilia vifo vya viongozi, kwasababu hao viongozi wenyewe nao wanashangilia vifo vya wenzao.

wanakula vizuri,wanalindwa vizuri ,wanabima za afya,wanatibiwa Ulaya ,wanamadaktari binafsi lakini bado kwenye miili yao wanamagonjwa mengi na hawaponi yanawatesa mpaka kifo.
 
Na Bado Kuna mtu .......
 
Kinachofikirisha zaidi ni kwamba waliojitokeza kufurahia kifo cha Magufuli hadharani ni viongozi wa CCM (Diallo, Nape, Makamba, n.k.).

Upande wa CHADEMA waliosherehekea ni mashabiki mitandaoni na mitaani sio viongozi wa chama. Sikumbuki kusikia Mbowe, Mnyika, Mwalimu, Mdee, n.k. wakitangaza hadharani kufurahia kifo cha Magufuli. Hata Lissu ilikuwa zaidi katika kulalamika aliyotendewa na kudai haki zake. Si katika kufurahi kwamba Magufuli kafa.

Aliyefariki leo ni kada mwandamizi wa CCM tena aliyempa kudos Magufuli 2015 kwa utendaji wa hali ya juu kabla hajabadilika 2017.

Ajabu sasa wapenzi wa Magufuli wamefurahi kufa kwa Membe na wanaonyesha kwamba furaha yao itavuka Mpaka Mbowe akifa! In fact, walikosa raha sana Lissu alipo-survive ile mvua ya risasi na kubaki na akili zake timamu! Bila shaka hadi leo wanatamani sana na kuombea wakati wowote Lissu adondoke njiani au agongwe na gari na “kufilia mbali”.

Kifupi, hatuna taifa wala hakuna kinachoitwa umoja, utamaduni na maadili ya kitanzania. Ni ulaghai tu. Ni kusanyiko la wababaishaji, wazembe, na wanafiki wakubwa. Ndio maana wageni wanaichezea nchi hii wanavyotaka. Viongozi wanaifuja kwa mbwembwe kama zote wakisaidiwa na maelfu ya machawa na makundi ya kimafia.

Labda wenzetu Wazanzibari angalau wanaweza kudai kuwa wana taifa. Wana some sense of nationhood. Sio bara au Tanganyika.
 
Wewee😂😂😂 njoo msibani tule maandazi ya bure acha wenge.
 
Jamani membe Kawa mwendazake tyr duuuh ila kunawatu watakuja kuzikwa nawe usijali
 
Kabisa mkuu

Leo ndiyo wanahubiri tuache chuki, wakati walikuwa wanafurahia kifo cha rais magufuli awakuliona hili
 
Majizi na makatili ya CCM yanazidi kukata kamba. Kukaa madarakani bila ridhaa ya umma itakuwa ndio kaburi cha hilo chama la majizi ya kura. Kila akiaga mmoja wa chama cha majuzi ya kura kwetu ni shangwe kubwa sana.
Majizi wazazi wako wewe shoga!
 

Nani kasema sisi humu ni wanachama Wenzio, hebu tutake radhi bhana.
 
Aliyeanzisha dharau na kebehi kwa viongozi waliotangulia ni Magufuli mwenyewe. Mkapa hakuwahi kumdharau wala kumkebehi Mwinyi licha ya mapungufu aliyoyafanya Mwinyi. Kikwete halikadhalika. Ila Magufuli sasa.

Yeye ndiye aliyefanya kila kitu nchi hii kuanzia barabara, viwanda, madaraja shule, hospital, umeme kaleta yeye, maji kaleta yeye, yaani kila kitu kila kitu. Kajenga hostel za mlimani na kashfa juu utadhani alikuwa hajui kama mtangulizi wake kajenga full chuo cha UDOM. In short, uliyesema hapa, muanzilishi na Magufuli sio Samia.
 
Hata mie nimeshangaa sana hii hali. Aisee nimegundua Taifa limegawanyika sana. Kauli za mzaha mzaha kama zile watu wazuri hawafi Leo zinatumika kijinga kufurahia mauti ya Mzee Membe
Nilikua nasoma comments instagrt nikaona wengi wanakumbusha hiyo ya wazuri hawafi. Makamba alifanya kosa kama alifikiri watanzania wengi wanamchukia Magufuli basi akikosea Sana, siku akifa watu watamkumbusha hiyo kauli yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…