Nyie Si ndo mlikuwa mnafurahia JPM alivyokuwa anawashughulia akina mbowe?Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.
Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.
Ona wakilamba asali
View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Mkuu Idugunde , kwanza naunga mkono hoja, na pili kwa idhini yako, naomba kulitumia bandiko lako kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.
Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.
Ona wakilamba asali
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Ingia mzigoni mwenyewe tuondokane na tatizo hili.Umechelewa sana kujua but kwa ufupi hii nchi haina upinzani wote unaona wanapga kelele ni vibaraka wa CCM
Wewe ni kuunga mkono tu maoni ya wenzako. Unaonaje ukiungana nao kuunda upinzani thabiti mnaoutamani kwa vitendo.Naunga mkono hoja
P
Ingia mzigoni mwenyewe ili kuondoa tatizo na si kulalama hapa. Unadhani kuna aliyezaliwa kwa ajili yako? Uanaume ni kufanya utamanicho na si kulialia ufanyiwe na wanaume wenzio.Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.
Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.
Ona wakilamba asali
View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Wapo hawa wanaodai katiba mpya na tume huru!Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.
Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.
Ona wakilamba asali
View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Vijana wa hovyo kabisaa Tena Hawa ndo wale kundi la CCM mwendazake, Sasa wanalialia tu humu [emoji2781][emoji2781][emoji2781][emoji2781][emoji2781]kwamba upinzani upambanie wapumbavu wanaosema lissu aandamane na watoto wake, kweli ccm mmejaa mazoba ndio maana kwenye kura za maoni ya chama chenu huwa hampati hata kura 4 maana huwa mnafungulia gulio la rushwa.
Kuna Mtu kakuzuia kuwa Mpinzani? Unadhani kuwa mpinzani ni Sawa na kuvaa vijola vya migomba?Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.
Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.
Ona wakilamba asali
View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Hawa Jamaa yaani Waliokuwa Waunga mkono Juhudi za JPM kwa sasa naona wengi wamepoteza muelekeo.Wewe ni kuunga mkono tu maoni ya wenzako. Unaonaje ukiungana nao kuunda upinzani thabiti mnaoutamani kwa vitendo.
Umeandika ujinga mtupu!Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.
Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.
Ona wakilamba asali
View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.
Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.
Ona wakilamba asali
View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Wewe unayaamini wanayoyasema. Hawa ni watu wanafiki na vigeugeu. Magufuli aliposema wapinzani wanachelewesha maendeleo walishangilia sana. Akawafanya wapinzani kuwa maadui wa Taifa. Samia amesema kuwa nchi inahitaji wapinzani, wanashangilia.Ingia mzigoni mwenyewe ili kuondoa tatizo na si kulalama hapa. Unadhani kuna aliyezaliwa kwa ajili yako? Uanaume ni kufanya utamanicho na si kulialia ufanyiwe na wanaume wenzio.