Taifa letu limekosa upinzani halisi. WanaCCM wawe wapinzani wa kweli na kumkosoa rais Samia anapokosea

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.

Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.

Ona wakilamba asali

image_search_1682216111614.jpg

Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
 
View attachment 2596797

Nyie Si ndo mlikuwa mnafurahia JPM alivyokuwa anawashughulia akina mbowe?

Sasa mmekatwa mikia mnamkuukumbuka upinzani?
 
Mi nadhani hii inasababishwa na umasikini wa pesa, kila mtu anaingia kwenye siasa ili anufaike. Ndio maana inakuwa rahisi kununuliwa.

Pia utambue nchi zetu rais ana mamlaka kubwa na kumshauri sio jambo jepesi.
 
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.

Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.

Ona wakilamba asali
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Mkuu Idugunde , kwanza naunga mkono hoja, na pili kwa idhini yako, naomba kulitumia bandiko lako kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.

Hii hali ya Tanzania kukosa upinzani imara wa kuweza kuiondoa CCM ndio sababu ya CCM kujirekebisha Kia uchao na kuendelea kutawala probably milele!.

P
 
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.

Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.

Ona wakilamba asali

View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Ingia mzigoni mwenyewe ili kuondoa tatizo na si kulalama hapa. Unadhani kuna aliyezaliwa kwa ajili yako? Uanaume ni kufanya utamanicho na si kulialia ufanyiwe na wanaume wenzio.
 
Wapo hawa wanaodai katiba mpya na tume huru!
 
Wewe huna hoja, upinzani gani unaowalaumu? CUF? TLP? ACT? Chadema?

Km chadema Mimi siwalaumu, kazi Yao walishaifanya,
Watanzania tuache unafki, unataka chadema wafanye Nini? Wamehangaika Sana Hadi Leo wapo waliouwawa, vilema, walifirisiwa, waliopojela n.k,wewe binafsi uliwaunga mkono kwa kipi?
Mara ngapi wanatangaza maandamano?

Huu unafki ndo unaolitafuna taifa, Ni upuuzi kukaa ndani ukitegemea watu fulani wafe, wapoteze Mali zao, wapoteze ndugu zao, wawe vilema
 
kwamba upinzani upambanie wapumbavu wanaosema lissu aandamane na watoto wake, kweli ccm mmejaa mazoba ndio maana kwenye kura za maoni ya chama chenu huwa hampati hata kura 4 maana huwa mnafungulia gulio la rushwa.
Vijana wa hovyo kabisaa Tena Hawa ndo wale kundi la CCM mwendazake, Sasa wanalialia tu humu [emoji2781][emoji2781][emoji2781][emoji2781][emoji2781]
 
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.

Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.

Ona wakilamba asali

View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Kuna Mtu kakuzuia kuwa Mpinzani? Unadhani kuwa mpinzani ni Sawa na kuvaa vijola vya migomba?
 
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.

Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.

Ona wakilamba asali

View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Umeandika ujinga mtupu!

Wewe ni miongoni mwa waliokuwa wanashangilia sana Magufuli aliposema anafanya kazi ya kuhakikisha anaua upinzani ifikapo 2020. Na ilipofika 2020 Magufuli alipoamua kufuta uchaguzi kwa yeye binafsi na watu wake kuwapa ubunge watu aliowataka, wewe ni miongoni mwa walioshangilia sana kuwa shujaa amefanikiwa kuua upinzani. Na mpaka sasa hakuna upinzani Bungeni.

Halafu leo, wewe uliyekuwa unashangilia kufutwa kwa upinzani, unata utetewe na upinzani!! Hivi wewe mwenyewe unajiona bado una akili timamu?

Kama hakuna upinzani, kwa ile akili ndogo ya kusema kuwa upinzani unachelewesha maendeleo, kila siku ulistahili utembee barabarani ukipiga vigelele.
 
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.

Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.

Ona wakilamba asali

View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.

Mnafiki mkubwa, pesa aibe CCM lawama umpe upinzani. Unataka upinzani wafanyeje wakati hawapo kwenye vyombo vya maamuzi. Wapinzani wakupiganie wakati umelala na mke wako chumbani.
 
Wapinzani ni kama Watch dogs tu kama CAG,

Kazi yao ni kusema pale mnakosea ,

Mfano kwenye ununuzi wa ndege , n.k.

Sasa kama uko na uadilifu wa kweli toka moyoni utamsakama “ watch dog” kweli au utanpenda na kumlinda ?

Inafikirisha mno.

Maswali ni mengi kuliko majibu.
 
Ingia mzigoni mwenyewe ili kuondoa tatizo na si kulalama hapa. Unadhani kuna aliyezaliwa kwa ajili yako? Uanaume ni kufanya utamanicho na si kulialia ufanyiwe na wanaume wenzio.
Wewe unayaamini wanayoyasema. Hawa ni watu wanafiki na vigeugeu. Magufuli aliposema wapinzani wanachelewesha maendeleo walishangilia sana. Akawafanya wapinzani kuwa maadui wa Taifa. Samia amesema kuwa nchi inahitaji wapinzani, wanashangilia.

Hawa watu hawana mbele wala nyuma. Ukiwauliza wakati wapinzani wakipambana juu ya mambo mbalimbali yanayogusa wananchi, wao walifanya nini, hakuna lolote.

Watu wa namna hii hawana msaada wowote iwe kwa Taifa au hata kwenye nafsi zao, kwa maana wamejaa unafiki mkubwa.
 
Back
Top Bottom