Taifa letu ni Salama na lenye utulivu kisiasa Kwa sababu ya hawa Majenerali Pichani. Wanasiasa na viongozi Mnajifunza Nini hapa?

Ninakubaliana na wale waliocoment kuwa Lucas anaumwa ila hajitambui kuwa ni mgonjwa,watu wanapotekwa na kuuawa kwa sababu ya kisiasa kwake taifa liko salama kisiasa,wananchi kulazimishwa kuongozwa na viongozi ambao hawakuwachagua yote hayaoni,kwake taifa ni salama kisiasa.

Baada ya majenerali kujitoa muhanga kulinda mipaka ya nchi yetu walitakiwa watambue kuwa adui wa nchi hii ambaye wanatakiwa kujitoa muhanga kupambana naye tena hatoki nje ya mipaka yetu yuko ndani ya nchi yetu ambaye ni CCM no 1 ambaye ndiye muasisi was mambo yote machafu ndani ya nchi hii.
CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania na kilicho na uchungu na maisha ya watanzania
 
Mlinzi wa kwanza wa Taifa ni Mwananchi na huyu asipoelewa au kuwa mzalendo hakuna nchi..., Ndio maana akaitwa mwananchi...

Ukinisoma utaona nimetoa angalizo (walamba asali wa sasa wanamuona huyu bwege) siku akibadilika na nchi ikitoka kwenye reli huenda isirudi hata baada ya karne kadhaa...
Mwananchi ndiye alikwenda akapigana vita vya uganda na Tanzania?wananchi ndiye anakesha usiku kucha akilinda mipaka yetu? Mwananchi ndiye anakesha akipambana na Magaidi yenye silaha za kivita?
 
Mwananchi ndiye alikwenda akapigana vita vya uganda na Tanzania?
Aisee unadhani nani alipigana vita vya Uganda ? Mercenaries kutoka nje ya nchi ? Kwa taarifa yako vita vikitokea mgambo na hata watu wenye umri zaidi ya miaka 18 mnaanza kukusanywa na kwenye kupigwa msasa wa muda mchache tena ikibidi nyie ndio mnatangulia kama chambo..., Tatizo watu Vita mnavisikia au kuviangalia kwenye sinema au mnadhani ni kama kucheza playstation
wananchi ndiye anakesha usiku kucha akilinda mipaka yetu?
Unadhani bila mwananchi kuwa macho ya nchi akija mtu asiyeeleweka mtaani ni nani atapata taarifa ? Au unadhani inteligensia huwa inatoka kwenye computer fulani au karai la mpiga ramli ? Unadhani leo mwananchi akiamua kwamba waliopo hapo hawafai kuna wa kumfukuza ? Unadhani bila mwananchi kuwa calm and collected baada ya JPM kufa, kusingetokea power struggle ?
Mwananchi ndiye anakesha akipambana na Magaidi yenye silaha za kivita?
Hivi hata unajua maana ya gaidi ? Magaidi wanatokea mitaani wala hawahitaji silaha za kivita akivaa tu bomu tena la kutengenezea nyumbani kwa kutumia mbolea ya ammonia anaweza kuingia sehemu na kuua watu lukuki..., ni macho ya mwananchi au wananchi kuishi kwa upendo ndio maana hakuna ugaidi wala chuki baina ya watu na watu hivyo badala ya watu kupigana makofi wanagonga cheers na kuchekeana kwa upendo... (Solidarity)

Ila narudia tena hawa walamba asali wanataka kuondoa Utaifa wetu wanaharibu kazi kubwa sana iliyotengenezwa na waasisi kwa kuleta Ujangiri kwenye mali ya common mwananchi...
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiona vyaelea ujuwe vimeundwa.tupo hapa tulipo tukiwa na utulivu wa kisiasa kwa sababu kuna watu walijitoa kwa jasho na Damu kulilinda ,kulipigania na kulitetea Taifa letu.tupo hapa tulipo kwa sababu kuna watu walitimiza vyema sana wajibu wao na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa letu badala ya matamanio yao binafsi.

Tupo hapa tulipo kwa sababu kuna watu waliamua kuilinda,kuitetea,kuihifadhi na kuilinda katiba yetu ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania dhidi ya wenye uroho na uchu wa madaraka.tupo hapa tulipo kama Taifa kwa sababu ya wazalendo ambao waliamua kwa jasho na Damu kulibeba Taifa letu katika mioyo ,vifua na Mabega yao.

Tupo hapa tulipo kama Taifa kwa sababu kuna watu waliamua kusahau na kuwa mbali na familia zao kwa ajili ya kupigania na kulinda maslahi ya Taifa letu. Ni uchapakazi wao, kujitoa na kujitolea kwao,uadilifu wao, uzalendo wao,uaminifu wao na kulinda viapo vyao kwa Taifa letu ndio kumefanya Taifa letu kuendelea kuwa lenye Amani,utulivu na usalama wa kutosha.

Watanzania tutambue ya kuwa hawa wazee wetu wameumia sana ,kuteseka sana ,kunusurika kifo na kupoteza Maisha yao kwa sababu ya kulilinda Taifa letu. Wamevuja jasho na Damu kutetea na kuilinda mipaka yetu. miili yao ilijaa na kuvuja jasho kwa ajili yetu watanzania. Hivyo hatuna budi kuwaheshimu,kuwaombea na kutambua mchango wao na uzalendo wao uliotukuka kwa Taifa letu ambao hakuna pesa ya aina yoyote ile na ya kiwango chochote kile inaweza kulingana na kujitoa kwao walikofanya kujitoa Maisha yao kwa ajili yetu.

Mungu wa Mbinguni aendelee kuwajalia Maisha marefu hawa Majenerali wetu.aendelee kuwapatia afya njema na uhai, kwa sababu ni hazina kwa Taifa letu na mawazo yao bado yanahitajika sana kwa Taifa letu.
View attachment 3143045

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uchawa

Uchawa pia ni kazi sema intweza utu
 
CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania na kilicho na uchungu na maisha ya watanzania
Kina uchungu wa kuteka na kuuawa kwa sababu wananchi haohao ndio wanaotekwa na kuuawa na kulazimishwa kuongozwa na viongozi ambao hawakuwachagua.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiona vyaelea ujuwe vimeundwa.tupo hapa tulipo tukiwa na utulivu wa kisiasa kwa sababu kuna watu walijitoa kwa jasho na Damu kulilinda ,kulipigania na kulitetea Taifa letu.tupo hapa tulipo kwa sababu kuna watu walitimiza vyema sana wajibu wao na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa letu badala ya matamanio yao binafsi.

Tupo hapa tulipo kwa sababu kuna watu waliamua kuilinda,kuitetea,kuihifadhi na kuilinda katiba yetu ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania dhidi ya wenye uroho na uchu wa madaraka.tupo hapa tulipo kama Taifa kwa sababu ya wazalendo ambao waliamua kwa jasho na Damu kulibeba Taifa letu katika mioyo ,vifua na Mabega yao.

Tupo hapa tulipo kama Taifa kwa sababu kuna watu waliamua kusahau na kuwa mbali na familia zao kwa ajili ya kupigania na kulinda maslahi ya Taifa letu. Ni uchapakazi wao, kujitoa na kujitolea kwao,uadilifu wao, uzalendo wao,uaminifu wao na kulinda viapo vyao kwa Taifa letu ndio kumefanya Taifa letu kuendelea kuwa lenye Amani,utulivu na usalama wa kutosha.

Watanzania tutambue ya kuwa hawa wazee wetu wameumia sana ,kuteseka sana ,kunusurika kifo na kupoteza Maisha yao kwa sababu ya kulilinda Taifa letu. Wamevuja jasho na Damu kutetea na kuilinda mipaka yetu. miili yao ilijaa na kuvuja jasho kwa ajili yetu watanzania. Hivyo hatuna budi kuwaheshimu,kuwaombea na kutambua mchango wao na uzalendo wao uliotukuka kwa Taifa letu ambao hakuna pesa ya aina yoyote ile na ya kiwango chochote kile inaweza kulingana na kujitoa kwao walikofanya kujitoa Maisha yao kwa ajili yetu.

Mungu wa Mbinguni aendelee kuwajalia Maisha marefu hawa Majenerali wetu.aendelee kuwapatia afya njema na uhai, kwa sababu ni hazina kwa Taifa letu na mawazo yao bado yanahitajika sana kwa Taifa letu.
View attachment 3143045

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Somo la Botswana wamelielewa, subirini mwakani 🤔🤔
 
Back
Top Bottom