Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Unachokitafuta utakipataSio ujinga bali ndio ukweli huo kwa machizi na vichaa kuota ndoto za Aina hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachokitafuta utakipataSio ujinga bali ndio ukweli huo kwa machizi na vichaa kuota ndoto za Aina hiyo.
We umechanganyikiwaUtanisemeshaje wakati wewe na Makopo na Makopo na wewe.
OkKwani nani kakwambia hapa jukwaani ni ofisi au mamlaka ya uteuzi?Kwa hiyo wewe hiyo Mimatusi yako unayotukana kama kichaa au mwendawazimu unataka kupata uteuzi wa nini? Au unataka ajira Mirembe?
Unazidi kujivua nguo kuwa wewe kwa siasa bado hujui kitu, endelea kujishaua tu.Mama ni hadi 2030 tunaendelea kutamba naye na baada ya hapo tunaweza kubadilisha katiba ili aendelee kuongoza Nchi yetu.
Nataka uende Mirembe kupata matibabu.si unaona umeanza kuota ndoto za kilevi na kiwendawazimu.Unachokitafuta utakipata
Nilichokueleza ndio ukweli wenyewe.Kama hutaki basi hama NchiUnazidi kujivua nguo kuwa wewe kwa siasa bado hujui kitu, endelea kujishaua tu.
Endelea kupiga Ramli kama mganga wa kienyeji tapeliHao ndio wanaongoza operation "Weka samiah pembeni hatoshi 2025"
Labda mu RIP kama hao wenzao!
Lazima apatikane Donald trump was huku aendane na WA America!!Endelea kupiga Ramli kama mganga wa kienyeji tapeli
Ila wewe mjinga siku ukifa tutakumiss snNataka uende Mirembe kupata matibabu.si unaona umeanza kuota ndoto za kilevi na kiwendawazimu.
Nihame nchi kwa huo utaahira wako unaowaza kwa njaa zako,wewe kweli mwenda wazimu, utashangaa kile kinaenda kutokea April 2025.Nilichokueleza ndio ukweli wenyewe.Kama hutaki basi hama Nchi
Leo unahoja port,usikilizwe!Ndugu zangu Watanzania,
Ukiona vyaelea ujuwe vimeundwa.tupo hapa tulipo tukiwa na utulivu wa kisiasa kwa sababu kuna watu walijitoa kwa jasho na Damu kulilinda ,kulipigania na kulitetea Taifa letu.tupo hapa tulipo kwa sababu kuna watu walitimiza vyema sana wajibu wao na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa letu badala ya matamanio yao binafsi.
Tupo hapa tulipo kwa sababu kuna watu waliamua kuilinda,kuitetea,kuihifadhi na kuilinda katiba yetu ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania dhidi ya wenye uroho na uchu wa madaraka.tupo hapa tulipo kama Taifa kwa sababu ya wazalendo ambao waliamua kwa jasho na Damu kulibeba Taifa letu katika mioyo ,vifua na Mabega yao.
Tupo hapa tulipo kama Taifa kwa sababu kuna watu waliamua kusahau na kuwa mbali na familia zao kwa ajili ya kupigania na kulinda maslahi ya Taifa letu. Ni uchapakazi wao, kujitoa na kujitolea kwao,uadilifu wao, uzalendo wao,uaminifu wao na kulinda viapo vyao kwa Taifa letu ndio kumefanya Taifa letu kuendelea kuwa lenye Amani,utulivu na usalama wa kutosha.
Watanzania tutambue ya kuwa hawa wazee wetu wameumia sana ,kuteseka sana ,kunusurika kifo na kupoteza Maisha yao kwa sababu ya kulilinda Taifa letu. Wamevuja jasho na Damu kutetea na kuilinda mipaka yetu. miili yao ilijaa na kuvuja jasho kwa ajili yetu watanzania. Hivyo hatuna budi kuwaheshimu,kuwaombea na kutambua mchango wao na uzalendo wao uliotukuka kwa Taifa letu ambao hakuna pesa ya aina yoyote ile na ya kiwango chochote kile inaweza kulingana na kujitoa kwao walikofanya kujitoa Maisha yao kwa ajili yetu.
Mungu wa Mbinguni aendelee kuwajalia Maisha marefu hawa Majenerali wetu.aendelee kuwapatia afya njema na uhai, kwa sababu ni hazina kwa Taifa letu na mawazo yao bado yanahitajika sana kwa Taifa letu.
View attachment 3143045
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utakufa wewe ni ukichaa wako na uchizi maana jalalani hakutakuacha salama mwaka huu.Ila wewe mjinga siku ukifa tutakumiss sn
Utasubiri snUtakufa wewe ni ukichaa wako na uchizi maana jalalani hakutakuacha salama mwaka huu.
Mama yupo na tunaendelea kudunda naye Mpaka achoke Mwenyewe kuongoza.Nihame nchi kwa huo utaahira wako unaowaza kwa njaa zako,wewe kweli mwenda wazimu, utashangaa kile kinaenda kutokea April 2025.
Utadhani nchi ni mali ya UWTNihame nchi kwa huo utaahira wako unaowaza kwa njaa zako,wewe kweli mwenda wazimu, utashangaa kile kinaenda kutokea April 2025.
Basi endelea kuhudhuria jalalani na Makopo yako uone kifuatacho.Utasubiri sn
Kwenye andiko lake umeona jina la SSH?......na wewe ni wale wale 😀 😀 😀SASA HAPO TATIZO LAKE NI NINI AU KWAKUWA ANAUNGA MKONO MAMA SSH? YAANI MNAPATA SHIDA SANA CHADEMA AISEE
Nadhani Luca ni mgonjwa na hajijui kwamba anaumwa
Chawa,chawa,Hataki Hilo anataka mpambe wa kujitolea(CHAWA)!Chawa