Taifa lolote linapokuwa na kiongozi anayehadaa umma kuwa yeye ni mtu fair lazima liumie kwa kuibiwa na kiongozi huyo

Utaratibu upo vipi kwani? Miaka yote ndio hivyo. Lakini kuna kiongozi ameweka loophole ili wapigaji wasifikishwe mahakamani kwa kigezo kuwa yupo fair
Kwani yule Mwendazake sijui Mwendakuzimu zaidi ya kuwapeleka rumande, Je ni wangapi walikutwa na hatia?

Yule HAYAWANi aliwatuhumu watu n kuwaweka ndani kuanzia 2016, lakini mpaka anakufa hakuna hata mmoja ambaye Mahakama ilimkuta na HATIA. Achana na wale wa PLEA BARGAINING feki ambao fedha ziliingia kwa mfuko binafsi wa Magufuli na Biswalo Mganga
 
Inafikirisha !!
 
Duh ! Nchi ya vioja hii !! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni ! Kazi kweli kweli !
 
Wewe umepiga kiasi gani hadi sasa?
 
Mimi kama mnyonge nimekubali tu kwamba Samia ni rais ila wanyonge sio kipaumbele kwake.
Tusubiri tu labda awamu ijayo.
Wewe kama ni Mzee huna chako ila vijana ndio kipaombele cha Rais 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220616-205254.png
    50.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220616-205328.png
    53.8 KB · Views: 4
Kuongoza nchi ni sanaa na siku zote ni kipaji. Umeamua kuyaamini yale maneno kwamba katika awamu yake ya tano tajiri anafanywa lolote!.

Unapomfanya lolote tajiri maana yake tayari umeshawauwa maskini maelfu kwa maelfu. Ndio akili yako mkuu Nyankurungu2020 inapotaka taifa hili lielekee!?.

Sidhani kama kuna tajiri anayeishi kama shetani ndani ya awamu ya sita, uhusiano ukiwa mwema hakuna sababu ya kutunza hasira.
 
Rubish
 

umeongea utumbo sijapata kuona?? hakuna sheria za wahujumj uchumi,sheria za makosa hazipo?? unawezaje mkamata pasipo na makosa?? mtuhumiwa ndan na uchunguzi unaendelea??

Kwaiyo kwa maana hiyo wapigaj waendelee??
sema anawaogopa na anashirikiana nao??
huwezi sema Kesi si kipau mbele??
haya kipaumbele n nn???
usonge hatua tano afu urudishwe nyuma hatua kumi afu useme kipaumbele n hatua tano??
 
Yatima kazi unayo, Kayafa is dead and buried.
 
Wale wazalendo waliokuwepo zile hela za malipo ya wahujumu uchumi walizokusanya ziliwekwa kwenye akaunti gani ya serikali ? Maana CAG Hakuziona !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…