Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Kwani yule Mwendazake sijui Mwendakuzimu zaidi ya kuwapeleka rumande, Je ni wangapi walikutwa na hatia?Utaratibu upo vipi kwani? Miaka yote ndio hivyo. Lakini kuna kiongozi ameweka loophole ili wapigaji wasifikishwe mahakamani kwa kigezo kuwa yupo fair
Yule HAYAWANi aliwatuhumu watu n kuwaweka ndani kuanzia 2016, lakini mpaka anakufa hakuna hata mmoja ambaye Mahakama ilimkuta na HATIA. Achana na wale wa PLEA BARGAINING feki ambao fedha ziliingia kwa mfuko binafsi wa Magufuli na Biswalo Mganga