Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

Prof.Ndalichako ni Jimbo la Kasulu Mashariki
 
Natafakari upya kuhusu wabunge mzigo kwa jamii. Safari hii najiuliza majimbo gani yatakwenda upinzani?

Wanasiasa wapya watakuwa akina nani?
Uchaguzi ukiwa huru na haki kama ule wa George Weah haki ya mungu hata na Samia anakwenda na maji asubuhi mapema
 
Mbalari CCM wakipata Kura 10k nitaamini uchawi upo.
Vipi mbona mna mbunge mpya Bahati Kenneth mwana wa Ndingo au nae hamna kitu.

School mate huyu madam pale mwakaleli sec.
Amesoma hgl advance ,mutu ya Kembo from Kyela .couple yao ilitrend Sana pale shuleni .
Sijui Kembo yupo wapi nowdays aje ale mafao kidogo kwa mheshimiwa Mbunge[emoji12]
 
Wanapiga hesabu za posho na ruzuku hao...hii miaka mi 5 ambayo hawako mjengoni njaa imewabamba sana...!

Ila yule mzee mwendazake kajua kuwaweka watu na njaa...[emoji1787]
Ni either kichwani haupo vizuri au kuna namna unanufaika na chama tawala. Kwa mtu anaejitambua na mwenye akili vizuri hawezi kuandika upuuzi huu!
 
Babu Tale akirudi bungeni nakunya mafungu mafungu kuanzia ubungo hadi chalinze. Majimbo ni mengi ila huyu Tale ni Zuzu zaidi. Kuna kilaza mwingine wa Viti maalumu anaitwa Neema Lugangira, huyu nae ni dishi, akirudi bungeni mniite Ibilisi!
 
Vunjo, Moshi Vijijini, Moshi Mjini, Rombo, Hai na Siha mkoani K'Njaro lazima yatarudi upinzani kwani watu wa kule wanajielewa vyema. Sina uhakika sana na Same Mashariki/Magharibi na Mwanga kwani kule ni species ingine na bado kidogo u-zuzu upo.
Unagongwa kweli wewe, watu wa Mwanga hadi milimani Usangi ni level ingine kiakili. Hamna mabwege kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…