Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

Changamoto ni kwamba,majina mengi huenda kwa familia,ukoo,ukanda hata dini na mazoea.
Sasa yale yenye mtazamo wa kifamili/kiukooo ni rahis zaidi kukutana nayo mfano saivi upo huko Makete huko lkn haya majina umekutana nayo sana Maro, Kimaro, Mkenda, Shirima & Lema
 
Mtango Mtalalango ni mtanzania mwenzangu nikisoma naye Msc. Pale Algeria lakini pia na Kiranga wa JF. Kajamaa ka kisukuma, kafupi kabeba Mabox na kaosha wazee huko kwa bidden ila ndio kajuaji ka JF. Nilichojifunza kwake, unaweza mtoa msukuma Tanzania na kumpeleka kuishi kwa Dada yake USA ila huwezi utoa usukuma ndani yakeπŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†
 
Sasa yale yenye mtazamo wa kifamili/kiukooo ni rahis zaidi kukutana nayo mfano saivi upo huko Makete huko lkn haya majina umekutana nayo sana Maro, Kimaro, Mkenda, Shirima & Lema
Kumkuta Shirima pale Makete akiwa na lafudhi ya kikinga au Namtumbo akiwa na lafudhi ya Kindendeule yawezekana(yawezekana)ni muingiliano wa makabila katika kuona.Akazaliwa mtoto akaitwa Warioba.
 
Nendeni uhayani mkajionee majina ya kigiriki. Tena yale ancient greek name. Washenzi wanamisifa hao eti
Respilius, achilius, hadi Hercules 🀣🀣
Mbona majina ya kawaida tu haya na yapo kwa watu wengi? Au ninyi ni watu msio na exposure kila kitu mnaona cha ajabu? Yamejaa tele Songea
 
Nendeni uhayani mkajionee majina ya kigiriki. Tena yale ancient greek name. Washenzi wanamisifa hao eti
Respilius, achilius, hadi Hercules [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Firstdream😁
 
Nendeni uhayani mkajionee majina ya kigiriki. Tena yale ancient greek name. Washenzi wanamisifa hao eti
Respilius, achilius, hadi Hercules 🀣🀣
Aristedes ,agreus,gracian ,gracious, Adeltus,Filician..wahay ni wazungu weusiπŸ˜…πŸ˜…
 
Hawa kama hawatoki maeneo ya arusha basi kilimanjaro[emoji3]
Ni wangoni hawa, ila mzazi wao alikua mwalimu wa sec huko Same Kilimanjaro.

Na walihamia pale shule wakiwa St 3, mie nikiwa la 4. Niliwazidi drs 1. Na shule tuliyosoma iko Songea.
 
Changamoto ni kwamba,majina mengi huenda kwa familia,ukoo,ukanda hata dini na mazoea.
Ndio unaweza kuona la ajabu ila kweny jamii fulani ndio popular..

Kama wangoni wana majina ya wanyama kama komba ,nyani ,tumbiri, paka
 
Ni kweli huko utakutana na kina Eustences, Antelius, Prospectius, Germinius itakua wagiriki wana vinasaba vya kamachumu au kanyingo [emoji23][emoji23]
Kuna mwalimu nikiwa advance, jina lake ni Respictius, ni muhaya yeye.
 
Mtango wapo hata wadigo kibao wanaitwa hivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…