Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Darcon
Hello hilo jina ulikutana nalo wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Darcon
Sasa yale yenye mtazamo wa kifamili/kiukooo ni rahis zaidi kukutana nayo mfano saivi upo huko Makete huko lkn haya majina umekutana nayo sana Maro, Kimaro, Mkenda, Shirima & LemaChangamoto ni kwamba,majina mengi huenda kwa familia,ukoo,ukanda hata dini na mazoea.
Bageni [emoji16]Bageni
Geneviva
Germina
Kumkuta Shirima pale Makete akiwa na lafudhi ya kikinga au Namtumbo akiwa na lafudhi ya Kindendeule yawezekana(yawezekana)ni muingiliano wa makabila katika kuona.Akazaliwa mtoto akaitwa Warioba.Sasa yale yenye mtazamo wa kifamili/kiukooo ni rahis zaidi kukutana nayo mfano saivi upo huko Makete huko lkn haya majina umekutana nayo sana Maro, Kimaro, Mkenda, Shirima & Lema
Mbona majina ya kawaida tu haya na yapo kwa watu wengi? Au ninyi ni watu msio na exposure kila kitu mnaona cha ajabu? Yamejaa tele SongeaNendeni uhayani mkajionee majina ya kigiriki. Tena yale ancient greek name. Washenzi wanamisifa hao eti
Respilius, achilius, hadi Hercules 🤣🤣
Jina la mtu Hilo, acha zako😄Anhaaa mkuu huu utani? The imp? Ndo jina lake kabisa m?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nendeni uhayani mkajionee majina ya kigiriki. Tena yale ancient greek name. Washenzi wanamisifa hao eti
Respilius, achilius, hadi Hercules [emoji1787][emoji1787]
Firstdream😁wakuu mambo ni vipi
Embu Leo Taja jina la mtu ambaye hujawahi Kulisikia tena baada ya kukutana na mtu analitumia.
Mimi nilikutana na jamaa anaitwa drufiano lile jina sijawahi kulisikia sehemu nyingine hata gugo halipo.
Taja jina ambalo ulikutana na mtu analitumia hujawahi kulisikia tena mahali nyingine
Bageni Jina la kisukuma mbona ni maarufu tu usukumaniBageni
Geneviva
Germina
Aristedes ,agreus,gracian ,gracious, Adeltus,Filician..wahay ni wazungu weusi😅😅Nendeni uhayani mkajionee majina ya kigiriki. Tena yale ancient greek name. Washenzi wanamisifa hao eti
Respilius, achilius, hadi Hercules 🤣🤣
Mdigo wapo kibao ...Jalala ,matata,Jalala
Ni wangoni hawa, ila mzazi wao alikua mwalimu wa sec huko Same Kilimanjaro.Hawa kama hawatoki maeneo ya arusha basi kilimanjaro[emoji3]
Ndio unaweza kuona la ajabu ila kweny jamii fulani ndio popular..Changamoto ni kwamba,majina mengi huenda kwa familia,ukoo,ukanda hata dini na mazoea.
mjitaHuyu muhaya
Huyo atakuwa mwalimu Mkatakona mitaa ya Tabora.
Kuna mwalimu nikiwa advance, jina lake ni Respictius, ni muhaya yeye.Ni kweli huko utakutana na kina Eustences, Antelius, Prospectius, Germinius itakua wagiriki wana vinasaba vya kamachumu au kanyingo [emoji23][emoji23]
Mtango wapo hata wadigo kibao wanaitwa hivyo...Mtango Mtalalango ni mtanzania mwenzangu nikisoma naye Msc. Pale Algeria lakini pia na Kiranga wa JF. Kajamaa ka kisukuma, kafupi kabeba Mabox na kaosha wazee huko kwa bidden ila ndio kajuaji ka JF. Nilichojifunza kwake, unaweza mtoa msukuma Tanzania na kumpeleka kuishi kwa Dada yake USA ila huwezi utoa usukuma ndani yake😀😃😄😁😆