Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

twende apa zora zoraa zoranga nikiw daslam nilisikia mchizi wangu anamuita mchizi wake majina hayo. nkamuuliza akaniambia ndio majina yake alimpa mapya akatengenezea paspot ya kuingia ulaya
 
kiranga , mtango na mtangalo ni wasukuma mkuu?
 
Hili jina jamaa alikuwa mpare anaitwa Elinyau halafu alikuwa mchungaji ...Sijawahi kuona maana Kilimanjaro kuna elineema ,eliwangu , eliamini.
mimi nilikutana na elirehema daah yule kenge alikuwa na akili darasani πŸ˜€πŸ™ŒπŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…