Taja kipaji chochote unachokiona kwa mwana JF mwenzako

Huyo Execute nahisi atakuwa mchungaji chipukizi maana amekuwa mfia dini sana kiasi ambacho anapoteza hata akili ya kawaida tu.
Kijana wangu kaa utulie. Mimi nawanyoosha nyie mliozoea kukariri kuruani.
 
Kijana wangu kaa utulie. Mimi nawanyoosha nyie mliozoea kukariri kuruani.
Nguvu unazotumia hapa Jf katika upuuzi ungewekeza kwengine ungekuwa umeajiriwa au umejiajiri mwenyewe , lakini unapambana na kitu ambacho hauwezi kukizima maana jitihada zako sawa na mtu kutia tone la mchanga kwenye bahari huku akijipa matumaini kuwa anaichafua bahari.

Uislamu hauthiriki chochote kwa thread zako na comments uchwara pambana ujijengee misingi imara katika maisha
Your browser is not able to display this video.
 
Njoo hapa ununio uone maisha mazuri na utampenda Yesu. Tatizo nyie mmejazana maeneo hatarishi huko tandale, buguruni na temeke nzima.
 
Njoo hapa ununio uone maisha mazuri na utampenda Yesu. Tatizo nyie mmejazana maeneo hatarishi huko tandale, buguruni na temeke nzima.
Kama na wewe unaishia Tanzania basi upo katika mazingira .Ushauri wangu kwako tumia mitandao vizuri kwa faida .
 
Kama na wewe unaishia Tanzania basi upo katika mazingira .Ushauri wangu kwako tumia mitandao vizuri kwa faida .
Wenzenu kule Dubai na Qatar waliacha kukariri hicho kitabu cha mchongo wakapeleka vijana wasome Marekani na Uingereza na sasa hivi wanavuna matunda ya uwekezaji wao.

Saudi Arabia kwenyewe mnakojazana anayeilinda nchi ni Marekani na hata ma prince wao wanasoma Marekani maana kitabu cha mchongo hakina dira.
 
Hayo yanakusaidia vipi wewe kupata ajira/kujiajiri na kuendesha maisha yako?
 
Hahaha nimekusikia mkuu
 
Mimi sitafuti ajira. Nitaenda qatar kuangalia world cup na nitakutumia picha.
Utakapokuja kuanzisha uzi usaidiwe buku tatu ya kula watu watafukua hili kaburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…